Kudanganya......

Kudanganya......

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
.....:screwy: .....hivi, unapokuwa unamdanganya mtu, bila 'woga' kwamba ANAJUA unamdanganya, ...kusudio lako huwa nini?

.....mimi bado sina tafsiri sahihi juu ya hili zaidi ya 'madharau' katika mapenzi. Au wewe waonaje? Mbu is only thinking ALOUD ....:what:

Nipeni maoni yenu waungwana...
 
maana yake ni kwamba uamini huo uongo na uchukulie poa tu!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kuna watu wanadanganya kama hobby yaani! Hata kama ni kitu kisicho na impact, atadanganya tuuu!

Mi naona ni kukosa kujiamini. Kama umefanya kosa na unajiamini u should be able kukiri na kujifanyia self analysis ili ujiongeze, period!
 
Inategemea na jinsia aisee.....
😛ainkiller:

Women cheat for reason (kulipiza visasi, kutoridhishwa na aliye naye, kuwa mbali na mpenzi wake, hali mbaya ya uchumi....nk nk nk)
:A S thumbs_down:
Men cheat for pleasure...a.k.a Kudumisha mila.. Mwanaume rijali hajawahi kuridhishwa na mwanamke mmoja: Ushahidi wa harakaharaka mabeberu na majogoo)
:clap2:
Baada ya kusema hayo naomba kujulishwa hivi leo ni jumangapi?:tea:
 
Kuna wimbo nimeusikia kwenye daladala jana jioni....."Nidanganye nidanganye tu....ukiniambia ukweli nitaumia.....ha ha naona mengine nikudumisha Amani tu manake ukweli unauma wakati mwingiene mheshimiwa Mbu
 
Last edited by a moderator:
wakati mwingine kuepusha shari tu
inakuwa si madharau.

....mnh? ...sasa hapo anayeepusha shari si mie Mbu?!

..najua wanidanganya lkn nakuacha na 'upuuzi' wako. Au weye watafsirije?
 
Nikudharau tu upeo wa huyo mtu unamdanganya

....hapa ndipo Mbu ninaposhangaa.
Iwapo naujua ukweli, na mtu aja na story ya uwongo....maana yake ananiona "bw.ege" fulani au?....lol
 
kudanganya muhimu, wewe mtu anataka ufuate kila ambavo anataka yeye kwake ndio

anaona unampenda au kumjali. sometimes inaboa na kuchosha. kuwa it all has to be about yeye kila mara,

yaani haoni raha kuingia line hadi ionekane inahuu yeye tu! unataka sex, anataka umbembeleze

na umuoneshe unataka ukimuona yeye tu. ukimwambia tu ukweli hata angekuwepo mwengine itakuwa powa tu

ujue una siku kadhaa za masuluhisho. what for? bora tu kudanganya. kunalipa sana.

anaweza kuwa wa muhim but kuna wakati kuna ya muhimu kuliko yeye. hapo unamdangya tu kama mtoto.
 
Kwa wengine uongo ni kipaji hawawezi ishi bila kudanganya yaani uongo ndo unawaweka mjini..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Sidhani kama nimekuelewa,sijui unazungumzia kudanganya kupi?Mlio tayari kwenye mahusiano au uongo ule wa mwanzo wakati wa kuambiana kuwa "nakupenda"?
 
Kuna watu wanadanganya kama hobby yaani! Hata kama ni kitu kisicho na impact, atadanganya tuuu!

Mi naona ni kukosa kujiamini. Kama umefanya kosa na unajiamini u should be able kukiri na kujifanyia self analysis ili ujiongeze, period!

......low self-esteem 😎 .....mmn, umekwenda deep...kwenye psychoanalysis!

......phewww.....thx King'asti. Nakubaliana nawe, ila je? Iwapo utajitahidi kwa kila hali kumhakikishia "Only the truth will set you free!" ...kuna haja gani yeye kuendelea 'telling white lies?'....

Sio madharau hayo? 😀
 
Labda niombe ufafanuzi, kudanganya hapa inahusisha hata kusaliti penzi, au ule uongo wa maneno tu?
You are damn smart... wengine tulishakurupuka na kujiaminisha huyu moskwito anaposema kudanganya alimaanisha cheating a.k.a infidelity.

Waweza kuta anamaanisha ule uongo wa "uko wapi" weye wajibu uko Shamba Mapinga kumbe uko Mbagala unakata kiu Dar Live.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Inategemea na jinsia aisee.....
😛ainkiller:

Women cheat for reason (kulipiza visasi, kutoridhishwa na aliye naye, kuwa mbali na mpenzi wake, hali mbaya ya uchumi....nk nk nk)
:A S thumbs_down:
Men cheat for pleasure...a.k.a Kudumisha mila.. Mwanaume rijali hajawahi kuridhishwa na mwanamke mmoja: Ushahidi wa harakaharaka mabeberu na majogoo)
:clap2:
Baada ya kusema hayo naomba kujulishwa hivi leo ni jumangapi?:tea:

.....hahaha, mzee mwenzangu ume 'kategorelaizi' kabisa? Nice one...
Ila, na doubt kama ina generalize vyema and 'fairly' hayo makundi.

....Mbu still believes uwongo ktk mapenzi ni mwiko. Ni bora mtu akawa mkweli, then akaeleweka 'madhaifu' yake....kuliko kudanganya jambo lililo na ukweli dhahiri.

BTW, leo ni X-mas wallah....kesho Boxing day...haki ya nani aisee sikudanganyi!
 
Kuna watu wanadanganya kama hobby yaani! Hata kama ni kitu kisicho na impact, atadanganya tuuu!

Mi naona ni kukosa kujiamini. Kama umefanya kosa na unajiamini u should be able kukiri na kujifanyia self analysis ili ujiongeze, period!

Kila mtu, at some point, anadanganya kwa malengo tofauti.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
uongo mtamu ....
uongo unapunguza uchungu .....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom