BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
.....hahaha.....kuna walio expatriates wa kudanganya hata ukimwambia aape kwa msahafu, au biblia.....
Atadanganyia humo humo na kiapo cha uongo...
Uongo ni kipaji. Unapodanganya hutakiwi kusahau....😀
I'd rather u keep quite than kudanganya (siku hizi nazeeka nakuwa msahaulifu ntakamatwa tu!). Mbona kuna njia rahisi tu ya kukwepa kusema ukweli bila kudanganya? Ukiulizwa uko wapi, unajichekelesha na kusema 'umeshanimisi eeh? Unafanya nini darling', mbona anasahau swali lake la msingi anajibu la nyongeza! Lying is bad, nikoishadanganywa nakuweka kwenye kundi hilo tu! Ukisema uko kwenye mataa ya morocco I don't expect u to be! So najipimia muda wa kufanya nnachotaka na nnachojisikia kufanya.
.....:screwy: .....hivi, unapokuwa unamdanganya mtu, bila 'woga' kwamba ANAJUA unamdanganya, ...kusudio lako huwa nini?
.....mimi bado sina tafsiri sahihi juu ya hili zaidi ya 'madharau' katika mapenzi. Au wewe waonaje? Mbu is only thinking ALOUD ....:what:
Nipeni maoni yenu waungwana...
...na hapa ndipo iliposimamia mada yangu. Unajua kabisa Mkeo anakudanganya, mfano; asb ulimuacha ofisini,....bahati mbaya, mchana ukampitia um surprise kwa lunch.... Pale ukajibiwa hakuingia kazini kabisa siku hiyo.
Jioni mpo nyumbani wamuuliza za kazi anakwambia alikuwa v.busy kwa ofisi, ....unapomwambia ulipita hukumkuta, anabadili maneno anakwambia alikwenda hospitali!
Wacha sasa nisepe:clap2:RR na wewe unazeeka siku hizi!
Waelewe Mbu na Fidel80 hapo ufaidike. U play by the rules of the game. Ila kuna mambo for sure huhitaji kuyajua. Unadhani Mungu alivyoweka kuwa hakuna kusoma mind ya wenzio alikuwa hana software?
Mie hata Mungu anipe kipaji ya kuona mambo ya kiroho ntakataa, I'm comfortable hapa. Lol! Maisha yangekuwa magumu atii kama kuishi kwenye 'Men in Black 3'!
Naombeni samare.........
Halafu mmoja wenu aniambie kama kuna jipya linaloongelewa hapa.:whistle:
Naombeni samare.........
Halafu mmoja wenu aniambie kama kuna jipya linaloongelewa hapa.:whistle:
Kuna kudanganya kwa dhamira ya kujipa kauhuru flani hivi, yaani si kwa nia mbaya. Kama vile navompiga fix bibi yenu kuwa naenda kuangalia fainali ya kombe la Dunia kati ya Manchester United Vs QPR (bibi yenu asivojua mpira wala haulizi) kumbe naenda kuungana na washkaji kupiga ulabu....
Ila kuna udanganyifu wa nia mbaya.... ili ukatimize mambo yako maovu. Nakumbuka yaliyonitokea enzi hizo (siyo mimi tafazali) Nlipomuaga bibi yenu kuwa naenda kazini night shift kumbe nikaenda lala zangu kwa Sweet Anita. (siyo mimi tafazali) Usiku mtoto kazidiwa ghafla bibie kapiga simu yangu holaaaa (nlishapanga kumfix charge imeisha incase of anything). Kamkimbiza mtoto hospital then akaamua kupiga simu ya ofisini... Alishangaa alipoambiwa mbona ODM (siyo mimi tafazali) yuko likizo siku ya pili leo?.............. Khaaaa!
Kilichotokea ni siri yangu (siyo mimi tafazali) lakini ndoa yangu bado iko imara (kwakuwa sikuwa mimi tafazali)
Mwisho wa hadithi.
Naombeni samare.........
Halafu mmoja wenu aniambie kama kuna jipya linaloongelewa hapa.:whistle:
Kuna kudanganya kwa dhamira ya kujipa kauhuru flani hivi, yaani si kwa nia mbaya. Kama vile navompiga fix bibi yenu kuwa naenda kuangalia fainali ya kombe la Dunia kati ya Manchester United Vs QPR (bibi yenu asivojua mpira wala haulizi) kumbe naenda kuungana na washkaji kupiga ulabu....
..........
Hapana............mada ni kwa nini unadanganya na unayemdanganya anajua unamdanganya.Hapa mada kubwa ni kudanganya faida na hasara zake.
Unasemaaaa!!!!Ww unaonekana husemagi uongo, hii topic haikuhusu. Nenda kule kwenye jukwaa lako Rejao anakutafuta, inasemekana Mwita25 ame-RIP
Kwa kuwa sikuwa mimi (tafazali)hahahahaha Asprin kwa nini unasema sio wewe?
Kwa mantiki hiyo uongo unafaida na hasara zake.
Lakini ODM (sio wewe) lengo lako lilitimia.
Yaani bibie anajua naangalia soka na RR kumbe mie napiga Guinness na bi Joy.Asee biya za uongo ni tamu sana.....namnukuu Asprin hapo
Vigezo na masharti ya mabano vizingatiwe tafazali. Angalizo: ODM hana nyumba ndogo bali anadumisha mila na mabinti wenye kiu.Babu, nimeamua kuigonore hizo za kwenye mabano; God forbid suppose unimaginable ingetokea. I am sure 'siyo wewe tafazali' ingekutake to the grave yaani ungejilaumu mpaka siku ya kufa kwako.
But ofcourse huwezi kumuaga bibi kuwa unaenda kwa nyumba ndogo.
Aisee..... kumbe ukipiga fix afu wakatabasamu wanakuwa wanajua umewafix ila wanakuwa hawana jinsi... ngastuka!!
Katika mapenzi usipo danganya humegi kaka....
uzuri na wao wanapenda kudanganywa ukimwambia ukweli basi umekosa tunda.
anapenda umwambie nitakununulia ndege au nitakujengea gorofa wakati anajua fika hata hela huna una hela za kubadilishia matembele na vibua au utumbo leo wa ng'ombe kesho wa kuku.