BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
.....hahaha.....kuna walio expatriates wa kudanganya hata ukimwambia aape kwa msahafu, au biblia.....
Atadanganyia humo humo na kiapo cha uongo...
Uongo ni kipaji. Unapodanganya hutakiwi kusahau....😀
mbu,
mwenye silka ya kudanganya huwa hasahau....
Ushawahi kuambiwa kuwa 'fulani akiongea maneno kumi, chukua mawili, maneno nane muachie? Hao ni balaa......kwa kupangilia uongo...
Ila ukiona mtu kakudanganya, halafu masaa mawili baadae anageuza sentensi jua sio mzoefu huyo
ila inakera unapodanganywa huku ukijua kuwa unadanganywa loh.....