Aisee..... kumbe ukipiga fix afu wakatabasamu wanakuwa wanajua umewafix ila wanakuwa hawana jinsi... ngastuka!!
AU kwa kuwa wanajua hata wakijua unawafix hawana jeuri ya kukuzuia lol
Kumbuka kitu kimoja tu ukiwa mwongo/kudanganya pia usiwe unasahau hovyo maana itakucost.
We msichana wa kike waweza kuedit post yako hii........ unakumbuka Singular and Plural? Stuka! Wanadanganyiiiikaa!!!Lol! Manake sie ndo hatujui kudanganya? Unapewa miadi ngoja kwanza, kuna issues nahitaji kuweka vizuri. Tujuane uzuri (kama kuna dalili ya ghorofa si ntaona walau mchanga unamwagwa ama tofali elfu kumi? Tuna akili zetu timamu usije ukadhani tunadanganyika, ebooo!ukiona umetoa hela bandia ikapokelewa ujue cheni ni bandia hehehehe!
Aisee..... kumbe ukipiga fix afu wakatabasamu wanakuwa wanajua umewafix ila wanakuwa hawana jinsi... ngastuka!!
AU kwa kuwa wanajua hata wakijua unawafix hawana jeuri ya kukuzuia lol
Hahahahahaha ROFL!!:clap2:Sasa hivi mwendo ni kusema kuna mechi ya John Cena vs Rafael Nadal
Hahaha...... Anakuwa home anamsaidia Matesha homework........... Na si unajua ushahidi wa watoto huwa hauna mashaka?Hapana babu, sio kama hawana jeans wala jinsi, wanajua wapi wanakufix. Yaani miaka yoote anaangalia game lako na ashindwe kujifunza hat tricks? Kalaghabaho,lol! Ww unapokuwa na RR ama bi joy unajua yeye anakuwa wapi? Ni swali tu, mi staki kuwa mind reader, don't burst my bubble!
Lol! Manake sie ndo hatujui kudanganya? Unapewa miadi ngoja kwanza, kuna issues nahitaji kuweka vizuri. Tujuane uzuri (kama kuna dalili ya ghorofa si ntaona walau mchanga unamwagwa ama tofali elfu kumi? Tuna akili zetu timamu usije ukadhani tunadanganyika, ebooo!ukiona umetoa hela bandia ikapokelewa ujue cheni ni bandia hehehehe!
Nashukuru sana BADILI TABIA kwa ushauri wako mzuri. Nakushukuru pia kwa kukubali ombi langu la kubadili avatar. Ntashukuru zaidi kama utaniPM tutete jambo flani hivi la kubadilishana tabia.Asprin, siku nyingine ukienda nyumba ndogo usiage wala usilale huko...... Mwambie unaenda kutembea. Full stop . Hii huepusha maswali
hapo kwenye RED ni muhimu sana, maana ukikamatwa kasheshe yake itakuwa kubwa kuliko ile ya kusema ukweliKama madhara ya kusema ukweli ni makubwa kuliko kusema uongo, we danganya tu! Ila usikamatwe.
Hapana............mada ni kwa nini unadanganya na unayemdanganya anajua unamdanganya.
Ukweli unauma, na nikijua moyo utauma............nidanganye danganye tuuu!!!!
:whistle:
Sasa hivi mwendo ni kusema kuna mechi ya John Cena vs Rafael Nadal
Nashukuru sana BADILI TABIA kwa ushauri wako mzuri. Nakushukuru pia kwa kukubali ombi langu la kubadili avatar. Ntashukuru zaidi kama utaniPM tutete jambo flani hivi la kubadilishana tabia.
Sitafurahi kama utanidanganya.
Hivi unajua niko kwenye inbox PM kule nakusubiri? Au hii siyo command?si unajua your wish is my command? Ikabidi nibadili tu.........
Nakupiemu kama ifuatavyo.......
Hata nami naona ni madharau yaliyopitiliza. Nachukia sana watu wa namna hii, mwanangu na nieces na nephews wangu wanajua mama/aunt kuliko umdanganye bora umwambie ukweli mtakuwa buddies.
Personally huwa sioni sababu ya kudanganya kwani nachukulia hiyo ni kujidanganya, bora nisikuambie chochote kuliko kukudanganya!
umeonaeeeee mbu!!! yaani kudanganya ni must!....hehehe....
Uongo huu 'nishadanganyiwa' nao sana, sawa na ule '...sijawahi nanihiwa kama unavyoninanihii (matusi) wewe!".... imekuwa kama chorus vile....😀
....uongo huo naukubali bana, "kula n'kule!"..
Serious mkuu hili swala lipo kabisa na unaona unadanganywa live hivi hivi kwa kweli haipendezi kabisa hata kidogo
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums