Ndugu yangu MwanajamiiOne,
Ni muhimu sana kutofautisha uongo wa mambo ya kawaida na yale ya msingi. katika mambo ambayo ndiyo nguzo ya uhusiano wenu, basi hapo hakuna utani wala uongo.
Babu DC!!

.....Shabaaash Swahiba! ....😀
Hapa ndipo nilipokuwa nataka uje...
Je? katika hayo mambo ambayo ndio nguzo ya uhusiano [....?....] panapoingizwa uongo ule wa kudanganywa dhahiri...(uongo unaoujua ukweli wake!)
..... Unajikubalisha utakuwa "unadharauliwa?"
MwanajamiiOne, kingine ninachokupendea hata kama twaweza shinda kutwa nzima twabishana, usiku haupiti unakuwa ushanielewa arguments yangu...
Am sure unakumbuka vividly reaction yake (uso ukisawajika) siku ulipomwambia udanganyifu wake waujua kwa ukweli wako ulojitosheleza.
Thats why I brought this topic here.
Jitu linadanganya uwongo mweupee pee.....siku ukimwambia acha uwongo wa kijinga, linakutumbulia mimacho kama mjusi alobanwa na mlango 😱 mnxs! .....'hobby' nyingine hovyo kabisa.
Kwenye hayo mambo hakuna nafasi ya uongo kabisa.
Mfano, kama Bibi DC hakuwahi kukiri kwa kinywa chake kuwa aliwahi kupata watoto kabla hatujakuna...leo akija na kudai kuwa alipata mtoto/watoto wakati wa foolish age ila aliogopa kunieleza.....hatakuwa na nafasi ya kuongea ***** kama huo!!

Ni kutokujiamini tu.
nimekumiss aisee...Ni kutokujiamini tu.
Hahahaha....take it eazy bro....hii mifano mingine imekalia kama nyimbo mbaya zisofaa kuimbiwa mtoto usiku.....
Waweza Ota ndoto mbaya sana. Kesho ukaamkia kwenye DNA lab....
Sasa je? Unapozungumzia confessions zisizo na tija....huyu shem wetu wa Mwj1 alikosea nini kumtambualisha huyo dada ni ex-school mate wake?
Mie nadhani sie wabantu ni ngumu sana upo na mkeo mnakutana na old flame nawe ukaanza "huyu alikuwa gelofrendi wangu.....!"
Au mwj1 wewe ni mwelewa? ....nijibu fasta nijue jinsi gani ya kukudanganya danganya tu....

Hahahha Mbu Sweetheart si bora hata tungekutana nikashtukizwa na introduction?? Sikuwahimwona huyo mdada kabla but nilikuwa "nasikilizishwa" kwenye simu na kulazimishwa kuongea naye kwani ni college mate!! Siku ya siku ufunuo ukatokea na kukuta kuwa kwanza hawakuwa wakisoma pamoja kwa maana ya kuwa hata kozi zao hazikuwa zinatolewa na chuo kimoja. mfano Mwanafunzi wa UDSM na yule wa SUA au MUCHS!! wapi na wapi?
So uwongo ulianza tangu sijamwona live huyo mdada, na hata kumwona live kwangu kulikuja katika kumtafuta nimjue ana nini kabla sijareveal nkijuacho.
......Kulikuwa na motive gani kwa mtu kumtambulisha hawara kwa mke wake na kujaribu kuwagonganisha eti wawe marafiki??
Something must have been very right or wrong somewhere.....I wish I could find out!
Babu DC!!!
Unaonaje [MENTION][/MENTION],... Haiwezekani kwamba mtu anajiamini sana kiasi cha kumwona mwenzake kama ni kilaza/kiazi?
Babu DC!!
Hahahha Mbu Sweetheart si bora hata tungekutana nikashtukizwa na introduction?? Sikuwahimwona huyo mdada kabla but nilikuwa "nasikilizishwa" kwenye simu na kulazimishwa kuongea naye kwani ni college mate!! Siku ya siku ufunuo ukatokea na kukuta kuwa kwanza hawakuwa wakisoma pamoja kwa maana ya kuwa hata kozi zao hazikuwa zinatolewa na chuo kimoja. mfano Mwanafunzi wa UDSM na yule wa SUA au MUCHS!! wapi na wapi?
So uwongo ulianza tangu sijamwona live huyo mdada, na hata kumwona live kwangu kulikuja katika kumtafuta nimjue ana nini kabla sijareveal nkijuacho.
Mzee mwenzangu Dark City, hapo kwa red hapo umemaliza kila kitu.Unaona sasa unavyojiingiza mwenyewe?
Hebu muulize mzee mwenzangu Asprin akukatia wasia kidogo!!
Kuna wanaume ambao kitendo cha kujishitaki ni sawa na suicide bombing!
Hii michezo nyie ione hivi hivi....Hakuna refa wala mchezaji anayeweza kujidai kuwa ni star!!
Babu DC!!