Kuna jamaa angu mmoja amekutana amedate na ke wenye majina ya Fatma,Eva, Pendo na Neema.. Wewe kwa upande wako umekutana na akina nani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Elizabeth, wanabadilisha tu nick names mara beth, mara Lizy
1. Alikuwa amechoka kishenziHata jambo la kawaida la kudate unasingizia jamaa yako
ππππ nani tena huyo1. Alikuwa amechoka kishenzi
2.Alikuwa amevimba Juu lakini chini ni kama Mjusi
3.Alikuwa kavaa wigi na vikuu miguuni na miwani mikubwa utadhani alikuwa amekuja kutazama kupatwa kwa jua.
4. Alikuwa na Mtindi mkubwa kupita kiasi
5.Yaani nilivyomuona tu kwa macho ni hakika alikuwa ameungua.
[emoji3][emoji3][emoji3]1. Alikuwa amechoka kishenzi
2.Alikuwa amevimba Juu lakini chini ni kama Mjusi
3.Alikuwa kavaa wigi na vikuu miguuni na miwani mikubwa utadhani alikuwa amekuja kutazama kupatwa kwa jua.
4. Alikuwa na Mtindi mkubwa kupita kiasi
5.Yaani nilivyomuona tu kwa macho ni hakika alikuwa ameungua.
Nani huyoπππ1. Alikuwa amechoka kishenzi
2.Alikuwa amevimba Juu lakini chini ni kama Mjusi
3.Alikuwa kavaa wigi na vikuu miguuni na miwani mikubwa utadhani alikuwa amekuja kutazama kupatwa kwa jua.
4. Alikuwa na Mtindi mkubwa kupita kiasi
5.Yaani nilivyomuona tu kwa macho ni hakika alikuwa ameungua.
Hehehe wee kaushaaaHata jambo la kawaida la kudate unasingizia jamaa yako
Hehehe wee kaushaaa