Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudeka ni kupenda kupata attention na care kutoka kwa wazazi au mpenzi kupita kiasi
kupita kiasi ndo kukoje bwana boss?
mfano wazazi kuacha shughuli zao kuja kukusikiliza
mfano mama aache shughuli zake aje atazame kama nyumba yako ni safi aisafishe...hapo ni kudekezwa
Ooh hapo nimekupata. Tena ukute wewe ni jibaba na midevu yako....aibu tupu!!!!
duhhhhh
kudeka au kedekezwa mmhh???
mi nataka kukudekeza...unasemaje?