Uchaguzi 2020 Kudhaminiwa na watu mil. 1 tu kwenye mikoa 10, kimsingi ni kwamba Magufuli na CCM yake wamekataliwa kabla ya wakati

Kwahiyo wewe wanachama million moja Ni Wachache au hata hesabu ulifeli. Hujui Kama hiyo Ni kubwa kuliko idadi ya wanachama wote wenye kadi wa vyama vya Upinzani nchini.

Back to school Miss
Upinzani ungekuwepo uume ungeshaga kudoboa sana
 
Kwa hiyo mwalimu wako alikufundisha kuwa ukiuliza maswali mawili ndani ya sentensi moja unatakiwa kuweka alama mbili za ulizo,hebu nipe namba zake nimchunguze mwalimu wako,isije kuwa kosa si lako bali alokufundisha.
 
We dogo hayo ni maswali mawili jibu sio unapayuka kàma shimo la haja
Ngoja kwanza acha kupaniki dogo,kwanza wewe na mwenzako nilikuwa naomba kumfahamu mwalimu wenu kwa sababu nimegundua kosa lipo kwake,sitaki kuwalaumu sana nyie,mwalimu mwalimu mwalimu,aliwaaingiza chaka mkaingia.
 
Sio kweli hata kidogo. Udhamini sio kura za maoni au uchaguzi ndio maana hutolewa fomu chache ili kuwafikia wanachama. Ukumbuke kuwa udhamini hautolewi na kila mwananchi hivyo hoja yako ya idadi ya watu mikoani au Dar ni dhaifu sana. Wanachama wanaopata fursa ya kudhamini ni wachache sana hususani wilayani na mikoani ambako vyama vina ofisi zao. Hivyo hupaswi kulinganisha udhamini na idadi ya watu nchini utakuwa unakosea sana. Kwa tuliowahi kushiriki zoezi hili tunafahamu vizuri ila nyie vijana mlioingia kwenye siasa kwa kutamani mabadiliko hamuwezi kufahamu haya. Uliza wajuao wakujuze kabla hujaleta uzi huku.
 
Kwa hiyo mwalimu wako alikufundisha kuwa ukiuliza maswali mawili ndani ya sentensi moja unatakiwa kuweka alama mbili za ulizo,hebu nipe namba zake nimchunguze mwalimu wako,isije kuwa kosa si lako bali alokufundisha.
Huna level na uelewa wa kubishana wala kuwa na mjadala na Mimi. Tafuta saizi yako avae.
 
TATIZO LINAONEKANA JAMAA WEWE HUJAELEWA MAANA YA UDHAMINI,HEBU KWANZA TUANZIE HAPO,HIVI UNAPOSIKI NENO WADHAMINI MIA MBILI KILA MKOA UNAELEWA NINI ?

Anaelewa sana anacho zungumza, tatizo ni kwamba akili za kundi hili lililo shindwa uchaguzi 2015 akili zao zimekaa fyatu kidogo i.e hawako sawa hata kidogo, ndio maana akina Lowasa na Sumaye walihamua kusepa chama cha ambacho viongozi wake na members ni predominantry ni akina Mangi/Bwashee!!zLowasa na Sumaye na wabunge wao kibao wakarudi CCM.

Mtu na akili zako timamu huwezi kuja na hoja zako mfirisi eti kwa nini JPM hakumwachia MEMBE ashike kijiti cha kuwania Urais, would you believe it? Tangu lini Tanzania ilianza kuongozwa kama ukoo wa Kifalme kwa kuridhishana vyeo?Kama hoja zenu hizi hizi za stone age era nasikitika kuwambieni kwamba mtasubiri karne nzima kuingia Ikulu.
 
Ujenge viwanda 8,477 na ucreate ajira 6,039,299 just in 5 years halafu uishie kupata udhamini wa Watanzania milioni 1 tu kati ya million 60 less than 2% ya Watanzania inaonyesha wazi jinsi ULIVYOFULIA.
Hii nchi gano mkuu yenye wanaccm mil60
 
Reactions: M12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…