Uchaguzi 2020 Kudhaminiwa na watu mil. 1 tu kwenye mikoa 10, kimsingi ni kwamba Magufuli na CCM yake wamekataliwa kabla ya wakati

Ni counter attack kali ya Lissu ...kosa la kiufundi la tumu pinzani linamfanya Lissu kuchanja bunga kuelekea golini kwa timu pinzani!!

Ohoooo, beki wa mwisho kashaachwa...kipa na yeye katoka...wacha tuoneee....Lissu anakokota mpira kwa kasi ya ajabu..!! Lissuuuuuuu anakwendaaaaaa!!
 
Hakuwapa hata nafasi ya kuomba maji
 
Kura za ccm pamoja na kuiba ni chini ya mil 4.
 
Siku hizi.. umezidi uongo wa kutunga.. vipi!!! Ni kama wamekusahau.. umebaki kushindwa kubadilika kiwazi humu.. kwani media hawawapi.. chenji chenji tena?..πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ww wakala wa shetani utaomba poo tu magufuli ni malaika ameshushwa kutoka mbinguni ukimdhihaki unapigwa mapigo makali na utalaaniwA tunamhitaji kwa miaka 20+
Aiseeeeh KUNA LAANA KALI YAJA JUU YENU....HIYO SIKU HAIPO MBALI
 
Mkuu wanahitajika wadhamini kiasi gan
 
Chadema tunaposema mnakwama sehemu maana yake ni kuwa elimu zenu ni duni ,hamjui katiba ina nini na ina taka nini,someni katiba ili muache kuhoji mambo ya kitoto

Kilichofanywa na magufuli ni moja ya matakwa ya kikatiba kwa presidential candindate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…