Kudhani wanawake waliofikisha miaka 30 bila kuolewa ni wanawake ambao wamekosa soko ni upumbavu wa hali ya juu...!Njoo and listen to me Matured MAN!

Hao 30+ ole wako ungie na gia ya kuwaoa,then umuhaidi ndoa then ujipigie then umwache,hilo balaa lake kama una mke, mkeo atajua kama ulikuwa unapiga na kupita anaweza kukuendea kwa babu.
 
Hao 30+ ole wako ungie na gia ya kuwaoa,then umuhaidi ndoa then ujipigie then umwache,hilo balaa lake kama unamke, mkeo atajua kama ulikuwa unapiga na kupita anaweza kukuendea kwa babu.
😄😄😄
 
Mtoa mada unawaongelea wanawake wengine au wanawake hawahawa wanaosemaga:

"sawa nadanga, niache nidange
inakuuma nn kwenda buza
kushuka kwa mpalange.
sawa malaya, niache nipuyange
style zote naaziweza hadi kifo cha mende.
 
Sura ipo? tako lipo? usije ukafikiri una msimamo kumbe ni wanaume ndio hawaendi extra miles kukufukuzia kwa sababu muonekano haulipi.
Sasa unaposema sura na tako unaongelea kwa mujibu wa nani au uliambiwa hivyo ndio vitu wanavyopenda wanaume wote, uzuri ni suala mtambuka uzuri wa mtu upo machoni pa mtazamaji hakuna vigezo maalum vilivyoamuliwa na watu wote duniani kuwa ndio vigezo vya uzuri au kama wewe unavijua viweke hapa, halafu hata wanawake nao wana machaguo yao unaweza kuona mwanamke hafukuziwi kwa sababu ya muonekano wake kumbe yeye ndio hawataki hao wanaume wanaomfukuzia maana hata ninyi mnakataliwa na wanawake wengi tu
 
Ungejibu tu hauna sura na tako, ingesaidia kuokoa muda. Maelezo marefu kama gazeti.
 
Ungejibu tu hauna sura na tako, ingesaidia kuokoa muda. Maelezo marefu kama gazeti.
Wewe ni nani mpaka unilazimishe nikujibu vile unavyotaka kwahiyo hata ukiniuliza jina langu nikagoma kukutajia napo utasema sina jina, ukiamua kuniquote hakikisha unakuja na hoja siyo ukibanwa unakimbilia kusema nashusha magazeti, masikini inaonekana umeumia sana mimi kuwa na hii misimamo ndio maana unajifariji hebu tafuta hela upunguze makasiriko kwenye mambo yasiyokuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…