mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Uhuru mwingi siku hizi,Elezea hapa...tunataka kujua nani mwanzishaji tatizo?
Ngono haiogopwi kama zamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru mwingi siku hizi,Elezea hapa...tunataka kujua nani mwanzishaji tatizo?
😄😄😄Hao 30+ ole wako ungie na gia ya kuwaoa,then umuhaidi ndoa then ujipigie then umwache,hilo balaa lake kama unamke, mkeo atajua kama ulikuwa unapiga na kupita anaweza kukuendea kwa babu.
SawaMtoa mada hujui unachosema
Kwani una ngapi saivi mkuu!Kumbe ngoja nivute vute mda
30 kasoro siku 5Kwani una ngapi saivi mkuu!
Kama ni embe basi lipo tayari kuliwa mkuu.30 kasoro siku 5
ngoja nisogee sogee kidogo mkuu😌Kama ni embe basi lipo tayari kuliwa mkuu.
Unatafuta kiki? Njoo na matusi mapya hiyo uliyotaja ndio ilikuzaa tena ya mama mlevi.. pityWe k*uma bado upo kwenye jukwaa hili kubishana na wanaume??
rudia kusomahata sijaelewa
Sura ipo? tako lipo? usije ukafikiri una msimamo kumbe ni wanaume ndio hawaendi extra miles kukufukuzia kwa sababu muonekano haulipi.Hapo number 1 na 2 umeniongelea mimi
Sasa unaposema sura na tako unaongelea kwa mujibu wa nani au uliambiwa hivyo ndio vitu wanavyopenda wanaume wote, uzuri ni suala mtambuka uzuri wa mtu upo machoni pa mtazamaji hakuna vigezo maalum vilivyoamuliwa na watu wote duniani kuwa ndio vigezo vya uzuri au kama wewe unavijua viweke hapa, halafu hata wanawake nao wana machaguo yao unaweza kuona mwanamke hafukuziwi kwa sababu ya muonekano wake kumbe yeye ndio hawataki hao wanaume wanaomfukuzia maana hata ninyi mnakataliwa na wanawake wengi tuSura ipo? tako lipo? usije ukafikiri una msimamo kumbe ni wanaume ndio hawaendi extra miles kukufukuzia kwa sababu muonekano haulipi.
Ungejibu tu hauna sura na tako, ingesaidia kuokoa muda. Maelezo marefu kama gazeti.Sasa unaposema sura na tako unaongelea kwa mujibu wa nani au uliambiwa hivyo ndio vitu wanavyopenda wanaume wote, uzuri ni suala mtambuka uzuri wa mtu upo machoni pa mtazamaji hakuna vigezo maalum vilivyoamuliwa na watu wote duniani kuwa ndio vigezo vya uzuri au kama wewe unavijua viweke hapa, halafu hata wanawake nao wana machaguo yao unaweza kuona mwanamke hafukuziwi kwa sababu ya muonekano wake kumbe yeye ndio hawataki hao wanaume wanaomfukuzia maana hata ninyi mnakataliwa na wanawake wengi tu
Wewe ni nani mpaka unilazimishe nikujibu vile unavyotaka kwahiyo hata ukiniuliza jina langu nikagoma kukutajia napo utasema sina jina, ukiamua kuniquote hakikisha unakuja na hoja siyo ukibanwa unakimbilia kusema nashusha magazeti, masikini inaonekana umeumia sana mimi kuwa na hii misimamo ndio maana unajifariji hebu tafuta hela upunguze makasiriko kwenye mambo yasiyokuhusuUngejibu tu hauna sura na tako, ingesaidia kuokoa muda. Maelezo marefu kama gazeti.
Una miaka 30+?Uzi bora toka mwaka umeanza 😻😻
Tatizo kuna kunguni zinajua wanawake wanahusudu kufua viboksa vyao vilivyotoboka, kumbe tunawachora tu..!! 😹🤣🤣
Hapana, 80+Una miaka 30+?