Ni wazo zuri...kwa maoni yangu naona kwa sasa ianze kama idara ....BRT ikijipambanua na ikaenea bongo ndo itungwe sheria ya kuanzishwa hiyo agency.Malengo makuu ya miundombinu ya mabasi ya mwendokasi (BRT) ni kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa haraka na salama jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo, lengo hili linahujumiwa vikali na ukiukwaji mkubwa wa sheria za usalama barabarani. Waendesha bodaboda na bajaj wamekuwa wakivamia njia hizi maalum, wakigeuza barabara hizi kuwa njia zao za mkato. Suala hili linazidishwa na baadhi ya magari ya serikali yanayotumia njia hizi kinyume cha utaratibu, hali hii imekuwa kero sugu na inasababisha vurugu zisizokwisha.
Athari za uvamizi huu ni mbaya sana. Takwimu za usalama barabarani zinaonyesha kuwa bodaboda na bajaj zinaongoza kwa kusababisha ajali nyingi nchini, zikiwemo mamia ya vifo na majeraha makubwa kila mwaka. Njia za mwendokasi zimekuwa maeneo hatarishi ya ajali za mara kwa mara kutokana na uzembe huo.
Kwa kuwa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) pamoja na mamlaka zilizopo zimeshindwa kudhibiti kabisa changamoto hii, kunahitajika suluhisho la kudumu. Napendekeza kuundwa kwa Mamlaka Maalum ya Usimamizi na Udhibiti wa Miundombinu ya BRT (BRT Enforcement Agency). Mamlaka hii itajielekeza kikamilifu katika kulinda miundombinu, kuwakamata na kuwatoza faini kali wavamizi wote, ili kurejesha usalama na nidhamu barabarani.
Next comment nitaweka majukumu na hatua za kisheria za hii mamlaka.
Asante Mkuu kwa kuliina hilo. Naamini hata wana TANROADS wapo wanasoma hii mada pamoja na TISS, hata wasipo comment basi walichukuwe wazo hili wakalifanyie kaziNi wazo zuri...kwa maoni yangu naona kwa sasa ianze kama idara ....BRT ikijipambanua na ikaenea bongo ndo itungwe sheria ya kuanzishwa hiyo agency.
Sheria zitavunjwa na bado pesa zitaliwa na matraffic police π π π hii nchi tunaijua ndani nje.Chanzo cha mapato yao kitatolana na tozo za wavunja sheria
Kwanini kisiwe kitengo tu chini ya Traffic police au LATRA?Malengo makuu ya miundombinu ya mabasi ya mwendokasi (BRT) ni kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa haraka na salama jijini Dar es Salaam.