ww ni sister yangu nn maana ana jina Kama lako na anaanza kilimoDuuh...mnatuogopesha tunaoanza kilimo
Toa maelezo mkuu jinsi hicho kifaa kinavyo fanya kazi...Wizi WA kwenye mabanda unadhibitiwa na kifaa kinaitwa infrared motion sensor
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mbinu ya jamaa kuweka pembe imenikumbusha tukio moja.
Mwezi wa sita 2017 nikiwa na dingi mdogo yeye ndo alikwa anaendesha gari tulikamatwa na trafiki Gongo la Mboto mwisho, gari ilikuwa na makosa kibao tukapaki pembeni kabisa kwenye vumbi. Trafiki akamuandikia dingi, basi wakati anaondoka dingi akazoa mchanga pale aliposimama trafiki na kuuweka mfukoni. Da! Trafiki akarudi fasta akamuomba dingi wazungumze yaishe akamrudishia fedha. Baadae namuuliza dingi ndo nini vile anasema ulikuwa mkwala tu.
Kifaa hichi kina mdetect binadamu au mnyama akisogea ndani ya mita 5 kutoka banda lilipo,kinawasha taa na kupiga kelele akizunguka zunguka eneo LA bandaToa maelezo mkuu jinsi hicho kifaa kinavyo fanya kazi...