Kudhibiti wizi mabandani (kuku, ng'ombe, mbuzi nk)

Kifaa hichi kina mdetect binadamu au mnyama akisogea ndani ya mita 5 kutoka banda lilipo,kinawasha taa na kupiga kelele akizunguka zunguka eneo LA banda
Mi natafuta cha kudetect binadamu tu, sijui kama kinapatikana,
 
Nyumba iwe na ua imara. Fuga mbwa, umtengenezee banda na mchana asitoke. Mtunze vizuri. Mlishe mara moja saa 4 usiku. Akibweka usiku, amka, sio mlinzi, ni mtoa taarifa.
Nilitaka kumwambia kama ulivyomshauri. Kwa kuongeza pia fuga mbwa kama mradi na wakizaa uwe unauza watoto nunua Germany Sherpherd utakuwa unaingiza hela huku unalindwa kama mfalme
 
Vipo tele
Mkuu acha uongo infrared haiwezi ku detect binadamu tu....

Vifaa vya motion detector vingi hufanya kazi pale unapo block path yake au kuna vingine hufanya kazi kwa body temperature (hii ni ngumu)...

Sasa hicho kifaa cha kum detect binadamu kikaacha mbuzi ni kipi?
Washauri tu wajenge uzio na kuweka motion detector nje ya uzio maana ukiweka ndani mbuzi zikipita kila saa ni ving'ora....

Wasalaam wote.
 
Huelewi unacho bisha,aliyekwambia vina detect binadamu pekee ni nani?,acha kushoboka
 
Hahahahahahaha
 
Nilitaka kumwambia kama ulivyomshauri. Kwa kuongeza pia fuga mbwa kama mradi na wakizaa uwe unauza watoto nunua Germany Sherpherd utakuwa unaingiza hela huku unalindwa kama mfalme
Hao mbwa hatari sana tena ni wakatili kuliko Waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…