Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Mdee na Zitto ni tamaa zimewaponzaKabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto kabwe ,Dr slaa , Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito .
Tulikuwa na list of Shame , hoja za majimbo ,Tume huru ,Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana
Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana , nadhani upinzani tujitafakari , tofauti ziwekwe pembeni .
Au kusombwa na kimbunga hidaya kwa pamojaKiwanda cha kuzalisha wengine kimekufa?Au tulijiandaaje kwa mambo ya dharula iwapo watajwa wangehama nchi,kuacha siasa au kusafiri bila kurudi tena?Yupo wa kumlaumu na itasaidia kuleta afueni au tugange yajayo?
Kwanza ni njaa halafu vitisho,uoga wao na kukubali ahadi nono.Natamani siku moja watueleze nini hasa kilijiri hadi ikawa hivyo.ukimtoa mbati, hao wengine wote wamedhoofishwa na njaa zao
Walijikita kwenye siasa za maji taka zimewachafua na kuwatoa kwenye relief.Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto kabwe ,Dr slaa , Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito .
Tulikuwa na list of Shame , hoja za majimbo ,Tume huru ,Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana
Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana , nadhani upinzani tujitafakari , tofauti ziwekwe pembeni .
Mi nadhani kuna Tatizo kubwa CDMKwanza ni njaa halafu vitisho,uoga wao na kukubali ahadi nono.Natamani siku moja watueleze nini hasa kilijiri hadi ikawa hivyo.
Yawezekana..Nao ni watu.Mi nadhani kuna Tatizo kubwa CDM
Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto kabwe ,Dr slaa , Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito .
Tulikuwa na list of Shame , hoja za majimbo ,Tume huru ,Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana
Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana , nadhani upinzani tujitafakari , tofauti ziwekwe pemb
Na hawa ndio walikuwa cream ya wasomi ndani ya hiki chama .Chadema huwa hawapendi wasomi hata msomi walienae (Lissu) wanamtumia tu na iko siku watamtimua ili waendelee kubaki na vila za kama Mzee Mbowe,Lema,Mdude ,Sugu na Wenje(hawa wote hawakufauli elimu ya sekondari)πββοΈπββοΈπββοΈKabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.
Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.
Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Sio kweli wasiokuwa wasomi ndani ya chama (Mbowe,Lema,Sugu,Mdude ) hawataki wasomi hata kidogo.Mdee na Zitto ni tamaa zimewaponza
Kwamba unaamini hatujui udhaifu ni nini, na hujuma ni nini? Pitia wanachoongea hao ccm kisha uone mwitikio ni upi. Unakuta kaongea kiongozi wa ccm, lakini zaidi ya 70% wanaponda tu alichoongea.Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.
Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.
Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
HakikaNa hawa ndio walikuwa cream ya wasomi ndani ya hiki chama .Chadema huwa hawapendi wasomi hata msomi walienae (Lissu) wanamtumia tu na iko siku watamtimua ili waendelee kubaki na vila za kama Mzee Mbowe,Lema,Mdude ,Sugu na Wenje(hawa wote hawakufauli elimu ya sekondari)πββοΈπββοΈπββοΈ
Kwa lissu sio msomi ?Sio kweli wasiokuwa wasomi ndani ya chama (Mbowe,Lisu,Sugu,Mdude ) hawataki wasomi hata kidogo.
Ni mikakati ya ccm hiyoukimtoa mbatia, hao wengine wote wamedhoofishwa na njaa zao
tofauti za nini zipo upinzan kwani? Na ni tofauti za nani na nani kwa mfano pale upinzan ziwekwe pembeni?π€£Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.