Kudhoofishwa kwa Dkt. Slaa, Mbatia, Zitto Kabwe, Kafulila na wakina Mdee kumedhoofisha sana upinzani

Kudhoofishwa kwa Dkt. Slaa, Mbatia, Zitto Kabwe, Kafulila na wakina Mdee kumedhoofisha sana upinzani

Na hawa ndio walikuwa cream ya wasomi ndani ya hiki chama .Chadema huwa hawapendi wasomi hata msomi walienae (Lissu) wanamtumia tu na iko siku watamtimua ili waendelee kubaki na vila za kama Mzee Mbowe,Lema,Mdude ,Sugu na Wenje(hawa wote hawakufauli elimu ya sekondari)🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Waomi wapo wengi sana, jumlisha wahitimu wa vyuo vikuu wote waliomaliza vyuo bila ajira, wapo mtaani wana asira na ccm hii, yaan jiulize kwa nini mijini ccm inapata tabu sana kuiba kura.
 
Kwa Tanzania upinzani ni vita kama vya wayahudi na wapalestina huko gaza, na bahati mbaya silaha ziko upande mmoja tu. Vyombo vya dola vimeaminishwa kwamba mtu kuwa na nguvu au mbinu za kujenga upinzani katika nchi hii ni kuhatarisha usalama wa wataifa. Hiyo imani ndo inafanya mpaka wapinzani wanafikia kupotezwa.
 
Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.

Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.

Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Sema kumewadhoofisha watanzania,nadhani kati ya hao uliowataja,hakuna anayekula ugali na bamia.
mfano mzuri ni kafulila,alifikia pahala akaitwa ngedere.
Toka amejiunga na keki ya taifa ni mwendo wa masifu, tusubiri mbowe lisu na wengine wajiunge kama vyombo
vya dola muone tunavyolimia meno.
 
😂😂😂
 
Back
Top Bottom