Kudhoofishwa kwa Dkt. Slaa, Mbatia, Zitto Kabwe, Kafulila na wakina Mdee kumedhoofisha sana upinzani

Waomi wapo wengi sana, jumlisha wahitimu wa vyuo vikuu wote waliomaliza vyuo bila ajira, wapo mtaani wana asira na ccm hii, yaan jiulize kwa nini mijini ccm inapata tabu sana kuiba kura.
 
Kwa Tanzania upinzani ni vita kama vya wayahudi na wapalestina huko gaza, na bahati mbaya silaha ziko upande mmoja tu. Vyombo vya dola vimeaminishwa kwamba mtu kuwa na nguvu au mbinu za kujenga upinzani katika nchi hii ni kuhatarisha usalama wa wataifa. Hiyo imani ndo inafanya mpaka wapinzani wanafikia kupotezwa.
 
Sema kumewadhoofisha watanzania,nadhani kati ya hao uliowataja,hakuna anayekula ugali na bamia.
mfano mzuri ni kafulila,alifikia pahala akaitwa ngedere.
Toka amejiunga na keki ya taifa ni mwendo wa masifu, tusubiri mbowe lisu na wengine wajiunge kama vyombo
vya dola muone tunavyolimia meno.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…