Kudondoka kwa uchumi wa Tanzania: Tatizo si la wanasiasa bali ni Wananchi wenyewe


umeongea vizuri sana mungi ila nikukosoe kidogo, tatizo sio kuwa na wafanya biashara wengi wa kiasia, tatizo ni je wapo hapa kisheria, na je wanatimiza yale yote wanayotakiwa kuyatimiza?kodi wanalipa, viwanda hivi walipitia mchakato ulio huru na haki kuvipata?na je tunafaidika sisi kama nchi na jamii kwa ujumla?

Misingi ya nchi imebomolewa kwa kiasi kikubwa sana, nchi bila jiko (viwanda) lazima itayumba kwa vyovyote vile, huwezi kuishi kwa kumtegemea jirani!ni aibu, bila kuwa na uwezo imara wa ndani tutaendelea kutikisika!

Hujiulizi kwa nini reli kila siku inahujumiwa? Na kama tunatumia mabilioni ya pesa kutengeneza barabara hali malori ya wakubwa yanapakiza mashehena kupitia barabara hizihizi unapata picha gani? Mchezo kama huu umefanywa sehem nyingi na wachache ambao kimsingi wanajulikana!

Kazi ipo sana
 
Kwa kifupi nchi bila viwanda,especially viwanda vidogo=jamii ya wachuuzi,and jamii ya wachuuzi= watumwa na utumwa ni ufukara
 

Hii ya 2012 lakini bado inasimama leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…