Cendy
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 1,250
- 2,309
Wakuu habari za humu jukwaani
Leo wakati nikiwa safarini naenda maeneo Fulani huko tarime nilipita stand ya musoma niliingia chooni kutoka nikalipia nikapewa list ya sh mia tatu hatua mbili nikaindondosha ile list [emoji24] [emoji24] [emoji24] tatizo sio kudondosha list tatizo nikashikwa kwa kuchafua mazingira ya stand [emoji35] [emoji35] [emoji35] hawa wakurya jomoni kidogo waniue bure ilibidi niwabembeleze nikawapa 30000 kwa hiyo nimeenda chooni kwa 30300[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
wale wadai picha, picha hiyo hapo
the great