Mkuu J Mushi, hiki ndicho nilichokisema, ili Chadema kilete Changes zinazotarajiwa, lazima kwanza chenyewe ki Change kwa kuwaambia Watanzania licha ya Change ya serikali kutoka serikali ya CCM kwenda serikali ya Chadema, wategemee Changes gani tofauti za zile ambazo CCM wameshindwa!. Hili la kusema Elimu Bure mpaka chuo kikuu, hospitali bure, na kuondoa umasikini, Chadema has to do "things right" na kwa wale ambao mmejiridhisha kuwa "Chadema is doing the right thing on the right way at the right time!" mkitegemea 2015 ni straight to Magogoni, "hope for the best!, but get prepared for the worst!".
Sasa hizo "things right" ambazo inabidi Chadema mbadilike, "imeshaonyeshwa", "imeshaambiawa", "mmeshaimbiwa", tena keke hizo sasa ni kama "hit single", kilichobaki ni Chadema to start "dancing to the tune", 2015 ndipo kweli atakuwa the new tenant wa ile nyumba nyeupe pale magogoni!.
Kwa vile mimi sio mwanachama, mshabiki, wala mfuasi wa Chadema, naombeni msiniulize mimi, ni "changes" gani hizo zinazotakiwa ziwe changed!, ninachosema kwenye thread hii ni Chadema isikie mwito wa changes na ikubali kubadilika!, thats all!. Kama imejiridhisha doing the right thing alone is enough, then keep on doing what you are doing the same way you do, and lets see the outcome of 2015!, ila please please please, "mkilizwa"!, "msilie"!
Pasco.