Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Mkuu nsanu, asante kwa taarifa, mawazo mfu mahala pa stahiki yake ni "kaburini" maadam game la 2015 ni lile la "do or die", basi baada ya uchaguzi wa 2015, whoever atakaye kufa, ndio atakutana na ushaiuri huu kaburini!.

P.
 
Mkuu zomba hizi habari zinapotosha mada na ni rahisi sana kuingia katiki udini.Kwa hali kubwa hizi ni propaganda:
Labda kukurahisishiwa mambo na tuishie hapo:

-Ni kueleze tuu wachina tangu karne ya 5 kabla ya Yesu Kristu walishaanza kuelezea principle zinazoendana na pinhole camera.

-Ibn al-Haitham-anaweza kuwa ni mtu wa kwanza kugundua kuwa mwanga unaingia ktk jicho.Hiyo ni nortable thing ila haitoshi.

-Giovanni Battista della Porta (1538 – 1615 kutoka Naples alikuwa mtu wa kwanza kutengeneza pinhole camera.

-Gallilei anabaki kuwa inventor wa microscope kama microscope,baada ya utafiti tofauti.
 

Pasco unasema "nimeshapandisha" ila hizo zimepandishwa na Mchambuzi, sasa napata picture kuwa ni kitu kimoja kama nilivyokuwa nahisi.
 
Mkuu Wewe Baba,

  1. uchaguzi ni process ambapo wenye nchi, (watu) wanamchagua wa kumkabidhi nchi yao, sasa yule anayetangazwa mshindi, ndiye anayechukua nchi, hivyo hili la kuchukua nchi, niko sahihi, na hata ningekubaliana na hoja yako ya wapiga kura kukabidhi nchi, hepu nitajia kitendo anachoikifanya huyo anayekabidhiwa kinaitwaje?, makabidhiano ni kupokea, ukishapokea then.. kuchukua!.
  2. Ushindi wa kishindo, ni ushindi mnene usio na mawaa!. pia hapa niko right!.
  3. Hili la upepo nimelizungumza, akasimama yule kamanda wangu, Ikulu you better just forget it!.
  4. Hiyo ya kutegemea kuchokwa chama tawala mpaka sasa ndio mtaji wa Chadema, it needs to do more to reap kura sio tuu za hao waliochoka CCM, bali to give solid reasons za kuwapangisha ikulu yetu!.
  5. Hilo la kutokuwa na miujiza na changamoto nyingi, nakubaliana na wewe!.

P.
 
Pasco unasema "nimeshapandisha" ila hizo zimepandishwa na Mchambuzi, sasa napata picture kuwa ni kitu kimoja kama nilivyokuwa nahisi.
Mkuu Nicholas, usitake kunipasua bichwa kwa misifa!, unataka kunifananisha na Mkuu Mchambuzi!, for your info, huyo ni mmoja wa ma genius wachache tulionao humu jf, genius mwingine ni Nguruvi3, mimi hata katika list ya ma great thinkers sipo. Mimi niko kundi la simple mind ndio maana kutwa kucha nadiscuss watu, EL, ZZK, JK etc, ordinary mind wana discuss events, nini kimetokea wapi na ilikuwaje etc, na ma great thinkers, ndio hawa wanao discuss ideas!. Mchambuzi is a great thinker, ila humu jf, tunao wale ma great thinkers wetu wa kawaida tulio wazoea, ukiwalinganisha na Nguruvi3 na Mchambuzi!, wengi wao ni cha mtoto!.
 

Ni juhudi tuu za kuaminisha watu vitu fulani ,halafu baadaye zilete kutojiaminini, na baadae hata matokeo watu waanze jipa sababu za kushindwa.Ila ni ngumu kwa wanachadema kuwa na mashaka.By the way mkandara keshaondoa "vimawazo vyake vidogo anavyoviita vikubwa" ahamie raiamwema.At least sasa atakuja na jina jipya ambalo atahitaji lijengea reputation upya.Sijui atachagua nani tena msomi aliye hai Tanzania.
 

wakupe jibu la CHANGES ZIPI?Kwani wewe utawapigia kura?
 
Nani kakuambia operations zote( sangara,M4C..) sio investment ya kuchukua wanachama na kura?unachekesha kweli mtu analima,anapalilia, akikaribia vuna unasema anasubiri mavuno ya upepo.Kweli hustahili ongea na mtu humu ndani.
 

Tutadeal nao kwa busara.Bahati nzuri maandiko yatabaki humu ndani.kwanza Pasco hujaleta search results nilizokuambia.Ili kukuonyesha kuwa nia mbaya huleta mambo mabaya.

Pasco kwanini umeamua tumia jina la Kikristu ili kufikisha ujumbe?Huoni kuwa unajidhalilisha.Hata kama unadhani kuwa ID yako ibaki kuwa "disguising".Ila choice ya id,inasema nia behind.

Ukibaki katik set ya majina ya iman yako unapungua thamani?Fikiria hilo.
 

Sifa zipi sasa,mimi nisoma ulichoandika,au ulikuwa na haraka?sababu jana ulikuwa so busy in a rush.Sasa sijui kama ulikuwa na uamkini.Pengine ndio maana ukajisahau na kuonyesha id zako.Nashukuru kwa kutuongezea ID zako nyingine
 

Wabadilike ya nini wakati walipopashikilia adui analia sana.Ukipuliza sumu uvunguni ukasikia kilio basi ujue kuna alise mwema humo.bahati mbaya CDm wana haki ya kufanya wafanyayo kama ilivyo kwa anayepuliza sumu ktk uvungu wa kitanda chake.By the way its funny kuwasikia CCM wakilia kilio hiki...loading..!
 
Mkuu Zomba, asante, nakumbuka hata Ustaadh Mohamed Said, alitueleza wakombozi halisi wa taifa hili dhidi ya wale waliotuzuga!.

P.

Sidhani kama ni rahisi hivyo.Kama hujamjua adui wa kweli huwezi shinda vita....."kuna enemy within pia"
 
Namba 9 nakukumbusha Mkuu uendelee kuichangia M4C ili iweze kutekeleza malengo yaliyopangwa.. Vinginevyo; Message Sent!.
Mkuu Deus, kama ni kuichagia, naingia sana tuu, kama ninavyoichangia jf, pia naichangia CCM bila kuisahau CUF, japo michango yangu sio kama ya Sabodo, yenyewe haiandikwi!.
 

watakuwa wengi sana.ila michango itakuwepo sana tuu.watu watasoma sana tuu,na wataona sana mambo yanayojitokeza na kujua nini pumba nini ukweli.
 
Ahsante sana kaka kwa kuwakubali hao watu! Ila umesahau kumweka na yeye....acha niwaorodheshe hapa chini kidogo kwa faida ya watu wenginine.

-Mzee Mwanakijiji
-Nguruvi3
-Mkandara
-Nicholas
-Mchambuzi
-Kiranga
-Utaki unaacha
-FJM
-Pasco
-Mag3 au Mag...sijui kama nimepatia ilo jina.
- Jmunis1, Na wengine kama watatu hivi nimesahau ID name zao

Kiukweli ukianzisha mada hapa JF na ukakuta mmoja kati ya hao amecoment kwenye thread yako basi ujue hoja
yako inamashiko. Vinginevyo huwaoni ng'ooo. Utaki unaacha
 
Mimi ningependa neno MABADILIKO liwe na maana pana zaidi ya neno kubadili chama kilichopo madarakani na kuleta chama kipya. Watanzania wanataka neno MABADILIKO litoe majibu mbadala ya baadhi ya maswali kama: -

  1. Je MABADILIKO yatafanya nini katika kuboresha shule zetu za kata kuondokana na hali ya sasa? Nini nafasi ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vikuu katika kuboresha ELIMU KWENYE SHULE ZA KATA?
  2. Je MABADILIKO yanawezaje KUJITEGEMEA bila KUPATA NGUVU YA MJOMBA WA KIZUNGU? JE WATANZANIA WATEWEZAJE KUPUNGUZA UTEGEMEZI HATA KATIKA MAMBO YA UENDESHAJI WA MAMBO YETU YA NDANI NA YA KIBAJETI?
  3. Je MABADILIKO yanasimamo gani kuhusu sera ya kilimo (KILIMO KWANZA) katika kuleta maendeleo endelevu kwa mtanzania? je MABADILIKO yanaamini katika dhana tajwa na je dhana hii inatofautishaje na ubinafusishaji tulioufanywa katika miaka iliyopita? na je MABADILIKO yanajua athari za imported agri-commercialisation katika nchi ambayo zaidi ya 80% wanategemea Ardhi kwa KILIMO NA UFUGAJI?
  4. Je MABADILIKO yanajua chanzo cha mambo yalivyo hivi sasa? yamejiandaa vipi katika kurekebisha mfumo "THE SYSTEM"? In my view this is a centre of all our problems - the system is not working as the system so whatever we see are the consequences of the system failure.

NB: I stand to be corrected. kama nimekosea herufi au neno rekebisha na chanjia hoja ya MABADILIKO KAMA MBADALA (ALTERNATIVE SOLUTION)

I SUBMIT.
 

Mkubwa, naona umetoa orodha ya wafuasi wa CDM, kama ungetaja Great Thinkers vichwa kama hivi usingeacha kuvitaja. Profesa, Kiranga, Zakumi, Mwalimu, JingalaFalsafa, Ngongo, Nzi
 
Last edited by a moderator:
Kuna nyimbo moja inaimbwa hivi -: Unapoianza safariii unatiwa moyooo...yanapoibuka mafanikiooo vinaibuka vikwazooo!!!. Hakika huyu muimbaji wa nyimbo hii aliwaza mbali sana.
 
Mkuu Logician, EL alizungumzia yote hayo katika kipindi cha Dakika 45 on ITV.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…