Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

JMUSHI1, POLE SANA NDUGU YANGU. HIYO LUGHA IPO KISHERIA ZAIDI NA HAPA SIO MAHALA PAKE. LAKINI HEBU TAFUTA HATA MWANAFUNZI WA SHERIA WA MWAKA WA KWANZA ANAWEZA KUKUSAIDIA.

Naona umedandia Pikipiki kwa mbele.

Msituzuge,sheria inatumia natural languages.Ila wanajaribu tumia structure inayoondoa ambiguity,kwa kupunguza au kutotumia misemo inayoweza badilika na muda.Kukwepa lugha ya kisasa kwani inaweza kuwa haijawa stable(except ikiwa maneno kama ya kisayansi).Hiyo mikanganyiko au tafsiri zaidi ya moja inaondolewa ili hseria isijekuwa haina matumizi kwani watu watai abuse.Ndio maana hata katika vitabu kuna mengi sana waumini na wasomi hawakubaliani.Imagine mahakamani.

Hayo mengine kadanganye wenzako hasa wale wansheria wanaodhan sheria ni "interpretation" pekee yake.
 
yupo busy atengeneza ID ingine.Nadhani kakwama anajiuliza hadi ID ingine ije jenga jina hii thread itakuwa imefungwa.
Mkuu Nicholas, Pasco wa jf ndiyo mimi na nina I.D moja tuu!. Na kwa taarifa yako mimi ni verfied user na sijajificha uvunguni au chini ya mwamvuli wowote, mimi ndio Pasco na hili ni jina langu halisi!.
P.
 

Jaziba za nini sasa? Is that you last line of defense? Tehe! tehe! Anyway to cut this conversation short, that word weighted, haijaweka hapo kwa bahati mbaya. GO BACK TO SCHOOL.

weight·ed
/ˈweɪtəd/ adjective



1 : held in place or made heavier by a weight
▪ a weighted fishing line ▪ The head of the golf club was weighted.

2 - used to say that something favors or does not favor a particular person, group, etc. ▪ The ranking system is unfairly weighted in favor of the largest schools. ▪ They feel that the system is weighted against them. ▪ The new tax law is weighted toward people with higher incomes. (http://www.learnersdictionary.com/search/weighted)

OK. NOW YOU HAVE MY PERMISSION TO BAN ME. HIKI SIO KIJIWE.

 
Nipo and will leave no stone unturned. Nitajibu yote!.

P.

Ila jana you left lots of them unturned.Weka hii status:

******************************
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Pasco is Loading..............!Please wait.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
 
Sawa la kubadilika ni muhimu kwa CDM ili kuingia ikulu 2015 ili kuondoa vikwazo. Lakini kuna mambo ya kurekebisha na pia kuwe na maandalizi ya kitaifa ili kuhakikisha kuwa uchaguzi utakuwa wa haki.
Marekebisho:
  • kuondoa upendeleo katika kuviwezesha vyama vyote vya kisiasa kuendesha mikutano yao kwa kufuata sheria
  • kuwapa elimu ya utaifa wananchi ili waweze kufanya maamuzi yenye ulelewa sahihi wakati wa kupiga kura

Maandalizi:


  • kuwe na tume huru ya uchaguzi
  • Uandaliwe mchakato mzima wa kupiga kura kwa kutumia teknologia ya mawasiliano
 
Mkuu Nicholas, tangu nilipokuona kule kwa Mkandara nilikukubali na kukuheshimu sana!. Nakuomba usiharibu heshima na reputation yako kwa asumptions ambazo hazipo, ila pia as times go by kadri ninavyokusoma humu, nazidi kukufahamu zaidi and I've realized I was mistaken!. Kwa vile mimi niko very frank na wala simungunyi maneno, "Mkuu Nicholas, una matatizo!". "You have a problem"!.
P.
 

Mkuu Pasco,

Mimi hapo sijaona chochote ulichoeleza maana unachanganya watu na hili ndilo tatizo ambalo pengine unalo wewe na rafiki yako Mchambuzi.

Hivi mambo yote yanayoendelea hivi sasa dhidi ya CHADEMA huyaoni?- yaani propaganda, ukandamizaji unaofanywa na Polisi na mambo mengine ya kuhakikisha CHADEMA inapatwa na misukosuko kwenye shughuli zake za M4C?

Unapotosha kwamba CCM au CHADEMA wanapendwa kwa ajili ya umaarufu hilo ni kosa la kiufundi. Vyama hivi vina sera zake na ni sera za kila chama ndizo zinazoangaliwa na wapiga kura na si vinginevyo.

Lakini kwa kuwa wafuasi wengi wa CCM wamekuwa wakifaidika na mfumo mbovu uliojengwa kwa miaka 50 iliyopita, wamekuwa wakisaidia kudhoofisha mawazo mbadala na leo hii wengi wanaona makosa ya wafuasi hao wa CCM.

Kama unavyoona rushwa imeota mizizi, uchumi umeshikiliwa na wageni na ni mbovu uliojaa mianya mingi ya kutoroshea fedha za watanzania nje ya nchi, pesa za watanzania zimehifadhiwa benki za Switzerland (bilioni 300 hizo) kwa njia zisizo halali, jeshi la polisi halifanyi kazi zake za kutumikia jamii bali kuishughulikia jamii hiyo.

Suala la ajira limekuwa tatizo na leo hii unaona vijana wengi wametapakaa mijini wakiwa wazururaji na wakiishi maisha ya kubahatisha, ajira hazina usawa bali ni ni nani unamfahamu na matokeo yake unaona vijana wengi watoto wa wenye nazo ndio wameingizwa kwenye ajira hasa zile za watoa ahsante kwa CCM.

CHADEMA "are doing things right" kwa kutumia busara kukabiliana na vurugu za vyombo ya serikali ambayo kazi yake mpaka sasa imeonekana kwenye maeneo mbali likiwemo eneo la Iringa ambapo mwandishi marehemu Mwangosi aliuwawa na Polisi.

CHADEMA itaendelea kupata msaada zaidi wa namna ya kukwepa athari hizi hasa kwenye kuelekea uchaguzi wa 2015.

Kuhusu CCM kushinda chaguzi zake kihalali hio pia sio sahihi ukizingatia matokeo ya uchaguzi mwaka 1995, 2000, 2005 2010 yote yalikuwa yakitoa malalamiko kwamba kulikuwa na mapungufu katika zoezi zima la kuhesabu kura.

Hivyo hapo ungekuwa na wazo labda pawepo kituo kikuu (nerve centre) ambacho kitajumuisha wawakilishi wa vyama vyote vya upinzani ambao watakuwa wakipokea matokeo ya kutoka kila kituo cha upigaji kura nchini kote. Nikikuwa nafikiria kwamba Switzerland wataporudisha zile pesa zetu zilizoibiwa, basi pesa hizo zitumike kujenga mfumo wa upigaji kura wa kipekee kabisa kuwahi kuwepo Afrika na uwe unatoa matokeo yasiyopigiwa kelele.


Hapo naona unamaanisha kwamba labda CCM itamsimamisha mheshimiwa rafiki yako EL ili aje akinusuru kuweza kushinda uchaguzi mwaka 2015. Hilo pia ni kosa kufikir EL anaweza kufanya chochote akiwa CCM. Si unaona pesa anayotumia kufanya PR ya nguvu? Je umejiuliza pesa hiyo inatoka wapi? fanya utafiti lakini hiyo pesa yote ipo mahali na inatoka kidogokidogo.

Nilikuwa nafikiri, ili EL aweze kutimiza ndoto zake za kuwa raisi ni budi ahamie CHADEMA na awe mgombe mwenza, lakini hilo haliwezekani kwani EL ana DNA ya CCM na haitakuwa jambo la busara kuhamia CHADEMA. Isipokuwa ikiwa atashinda ubunge kupitia CCM na tukawa na bunge mseto basi anaweza kubahatisha uwaziri.

Kwahio mkuu Pasco na mwenzio, kazi ya "spin doctor" hamuwezi kabisa na hiki ulichoandika hamna chochote kipya.
 

Sidhani kama mimi nilitegemea uwa hukuwa unanielewa.Na wala si nia yangu wewe usinielewe,kwani kuna vitu ukinielewa utaelewa nia yangu.Na ukijua nia yangu utapata bigger picture ya nikisemacho.

Sidhani kama ni mea assume mahali popote.Na nimeakuwa very clear ktk moves zangu.Sidhani kama wewe ni frank hata postings zako zinaku betray.

Umesema upo frank?Kwanini wewe uchague ID Pasco na si ingine ya kimatumbi?Au mukandara na si vinginevyo?kwani usiwe na Id inayoshabihia na values fulani zinazokuakisi wewe?

Hujakosea mimi nina problem na wala si moja.Ila mojawapo ni kuchukua uongo.
 
Hapo kwenye RED ndipo panapomkwamisha,sijui ataoga maji gani kubadilisha hilo.,
 
MGANGA WA KIENYEJI said:
Jaziba za nini sasa? Is that you last line of defense? Tehe! tehe! Anyway to cut this conversation short, that word weighted, haijaweka hapo kwa bahati mbaya. GO BACK TO SCHOOL
Jazba umeiona wapi?Maneno yako yanaonyesha hata kama umeenda shule wewe umekariri,na hiyo law ambayo mwenziyo Pasco na yeye ameisomea,i doubt kama una ipractice...

Unapolitumia neno "weighted",halafu tena unasema "counted",unaonyesha umekariri huko ulipoyatoa hayo maneno kwasababu haimake sense.Unless ungekuwa unazungumza "arithmetically",wewe ndo urudi shule kwani ni mtu wa kukariri,na hiyo law uliyoisomea huwezi kuipractice.Umeshindwa kuelezea ni kivipi hayo maneno ni ya kisheria.

OK. NOW YOU HAVE MY PERMISSION TO BAN ME. HIKI SIO KIJIWE.

Huna lolote,siwezi kukufungia,umeleta matusi nikasema nitakuripoti.Nimemaliza mjadala na wewe,unless ni kuhusu hii thread.

 

Hapa pia naona bado unasema chama hushinda kwa umaarufu wa mtu hii ni hatari Pasco!

Chama za siasa hushinda kutokana na sera zake kueleweka kwa wapiga kura.

Nakataa kabisa kutumia umaarufu wa watu fulani wenye sifa za UFISADI kutumika kuhalalisha umaarufu wa CCM kushinda chaguzi zake, huu ni ujinga- period.

CCM ina watu wamejaa UFISADI na mambo yake mengi yamechafua DNA yake na imechafuliwa. Ili CCM iweze kuelimika ni budi ikawekwa pembeni mwaka 2015 na ijifunze namna kuwahudumia wananchi na sio kuwakandamiza.
 
Hapo kwenye RED ndipo panapomkwamisha,sijui ataoga maji gani kubadilisha hilo.,

umeona eh..hawa jamaa moves zao zipo very vulnerable.Assume kaulizwa jukwaani...jinsi wangetaharuki au hata kumpaamia muulizaji.Pengine na kumwita mwana CDM kaingilia mkutano ili achafue hali ya hewa.Hapo ndipo nilipo paona ktk thread niliweka kumhusu mh E.L.

Na JK hatokubali piga safisho kubwa.Hata dogo lenyewe patapita timi nyingine kwa nyuma ikifuta kauli, na kaipiga CDM wanamalizia kuwa ni Richmond ni deal ya wawili hao.Mbaya sana JK hana tena ubavu wa kumsafisha EL jukwaani na watu wakaona kama kitu serious.Ya monduli si yameisha ila bado minong`ono si ipo.
 
Ila jana you left lots of them unturned.Weka hii status:

******************************
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Pasco is Loading..............!Please wait.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Mkuu Nico, hebu nikumbushe, hivi nilisema ningejibu by jana?. Nakumbuka nimesema nitajibu kila hoja na majibu yangu mtayapata kupitia notifications!.
 
Jamani eeh! Ongeeni yote lakini kumhusisha Mkandara wa humu JF na Mukandala wa UDSM si sahihi.

Huyu wa kwetu hapa JF ni mkerewe na anaishi/aliishi Canada kwa miaka mingi sana. VC wa mlimani ni Rwekaza Mukandala. Sina uhakika na kabila lake, japo kuna mtu ali-hint kwamba ni nshomile.
 
Maneno hayo hapo chini nimeyatoa kwenye article moja ambapo mwandikaji amezungumzia kuhusu utofauti kati ya "Doing Things Right vs Doing the Right things"
Doing Things Right vs. Doing the Right Things - SitePoint
Watetezi wa doing things right,mjisomee mwelewe vyema maana zake,halafu murudi hapa kutueleza mnamaanisha kitu gani?

Hapo chini more food for thought...
Leadership Principles: Do the right thing.

Niliwaambia huko nyuma kuwa doing the right things is about leadership,na nikasema chadema wanatakiwa wa lead...


Doing Things Right vs. Doing the Right Things | bSix12 - By Rainer Falle
Kumbe inawezekana kuwa kimoja ni single loop where as kingine ni double loop?

Somo la leo:kujifunza ni vyema kuliko kukariri...
 
Kwa kuongezea kuhusiana na hizo dhana mbili,ambapo mwandishi amezielezea kama" double loop learning vs single loop learning",The latter is more of thinking inside the box...
Doing Things Right vs. Doing the Right Things | bSix12 - By Rainer Falle
 

teh teh..Canadians wanashida kibao na makundi ya watu..asians,english speaking groups na French speaking groups.Anyway, si mbaya kwa kumpongeza kwa kuchagua strategic ID.
 
Mkuu Nico, hebu nikumbushe, hivi nilisema ningejibu by jana?. Nakumbuka nimesema nitajibu kila hoja na majibu yangu mtayapata kupitia notifications!.

sijui ..nilitaka jua utacatch up lini?hadi hapa utakuwa ukijibu vitu katk order wasomaji hawatajua unajibu nini hasa kwa maswali kama "Nani kakuambia kuwa wanahitaji kura yako?".msomaji hawezi jua umeulizwa umeulizwa katik context gani?Kumbuka hayo yatakuwa yameingia ktk forest ya side discussions.
 

Jmushi naona umeamua kwenda palipo jugular..nadhani ndipo mahali pa kufunga mjadala.wakajiweke ktik hizo site wakipiga book.And this is very serious hata kwa mchambuzi,mkandara,pasco na wengine.wanakuwa wanafikiri kwa style ya "kuku na yai" basi hawatoki katika hiyo loop.Sasa hii "the so thought to be The big idea in the modern Tanzanian politics is nothing but a mad man idea" kwa hiyo warudi shule halafu lab waje na nyingine ila wajihakikishie kuwa imepitia kwa critics kabla hawajajiaminisha.
 

excusatio non petita, accusatio manifesta (latin)= he who excuses himself, accuses himself
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…