The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Wanaume wenzangu naomba tupitishe azimio la pamoja kama ifuatavyo:-
1. Kuanzia 2021 hakuna kumtumia Demu nauli, hata kama ni 400/=
2. Hata kama umemtumia hela, let say ya matumizi hakuna kumtumia na ya kutolea.
3.Ukitumiwa sms na manzi yeyote ikisomeka hivi " Nikuombe kitu " zima simu
Ongezea nyingine