Kuelekea 2022;nani kumrithi uhuru kati ya moi,joho,musyoka,na ruto?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Hawa jamaa nawaona wote wameanza kuchanga karata zao vema je nani anaushawishi mpaka sasa? Na yupo nafasi nzuri ? Tuanze kuwajadil na kuweka kumbukumbu sawa
 
WSR ana mvuto....He is not to be underestimated...But Kenyan politics is a game of spades/thrones literally...I personally don’t think it is Joho’s or Kalonzo’s time yet...The political dynasties have a strong grip on the politics in Kenya...They too can’t be underestimated...The talk of the referendum can mean Uhuru could be a strong PM or DM....All up in the air...The battle of gigantic proportions to State House awaits Kenyans..

(My Swahili does not meet JF standards please forgive me guys)...
 
Sidhani kuna rais yeyote Kenya ambaye alifanikiwa baada ya kugombea kiti cha urais kwa mara ya kwanza. Ngoja tuone hii ya Hustler.
 
Joho hawezi kamwe...muislamu hawezi kuwa rais Kenya.
Kwenye siasa za Kenya wananchi huwa hawajali dini za wanasiasa. Joho labda awe mgombea mwenza wa mtu kama Raila kwanza ili aweze kujulikana zaidi bara.
 
Muislamu hawezi kuwa rais wa kenya, na hawezi sababu wakenya hawawezi mchagua muislamu.
 
Muislamu hawezi kuwa rais wa kenya, na hawezi sababu wakenya hawawezi mchagua muislamu.
Hamna udini Kenya, na kwenye siasa waislamu, ambao hawazidi 10% ya wakenya wote, wanashikilia nafasi za juu kabisa uongozini. Serikalini pia wanaongoza kwenye wizara kadhaa, mashirika ya umma na hata DPP ni muislamu. Ikumbukwe kwamba Kenya kuna mahakama za Kadhi.
 
Kwenye siasa za Kenya wananchi huwa hawajali dini za wanasiasa. Joho labda awe mgombea mwenza wa mtu kama Raila kwanza ili aweze kujulikana zaidi bara.

Mwaka 2022 Ruto yaani Dr Hustler anachukua usukanu penda usipende. Kumbuka kamsaidia Uhuru kwa vipindi viwili kwa mali na hali na sasa ni wakati wa Uhuru kurudisha mkono. Usilinganishe chenga za Baba Raila kwa Musyoka na Mudavadi. Joho yeye ni mpita njia tu. Ila nafasi inatengenezwa ya Winnie Raila ili 2037 achukuwe usukano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…