Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye siasa za Kenya wananchi huwa hawajali dini za wanasiasa. Joho labda awe mgombea mwenza wa mtu kama Raila kwanza ili aweze kujulikana zaidi bara.Joho hawezi kamwe...muislamu hawezi kuwa rais Kenya.
Madhara ya ubaguzi hayawezi kuwaacha salama, "Dhambi ya ubaguzi ni sawa sawa na kula nyama ya MTU, ukila nyama ya mtu lazima utaendelea" (Julius Nyerere, 1995)Muislamu hawezi kuwa rais wa kenya, na hawezi sababu wakenya hawawezi mchagua muislamu.
Sikunakipindi walimtamani Magufuli hawa wakenya...Mchukueni Magu jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna udini Kenya, na kwenye siasa waislamu, ambao hawazidi 10% ya wakenya wote, wanashikilia nafasi za juu kabisa uongozini. Serikalini pia wanaongoza kwenye wizara kadhaa, mashirika ya umma na hata DPP ni muislamu. Ikumbukwe kwamba Kenya kuna mahakama za Kadhi.Muislamu hawezi kuwa rais wa kenya, na hawezi sababu wakenya hawawezi mchagua muislamu.
Huchelewi! Je, mnapowatafuna albino INA maana hamtokoma kamwe??? 😀Madhara ya ubaguzi hayawezi kuwaacha salama, "Dhambi ya ubaguzi ni sawa sawa na kula nyama ya MTU, ukila nyama ya mtu lazima utaendelea" (Julius Nyerere, 1995)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye siasa za Kenya wananchi huwa hawajali dini za wanasiasa. Joho labda awe mgombea mwenza wa mtu kama Raila kwanza ili aweze kujulikana zaidi bara.
Watz tumeanza kuisifia nairobi kweli maisha ya kibera ni mazuri kuliko sehemu yoyote dar salaam na O BRT yenu ni bora kabisa dunianiHuchelewi! Je, mnapowatafuna albino INA maana hamtokoma kamwe??? 😀
Oooh my God...Nilijua mpo na ukabila pekee...yani hadi na udini...!!🤔🤔🤔🤔Joho hawezi kamwe...muislamu hawezi kuwa rais Kenya.