Kuelekea 2025, Hii ndio safu Mpya tunaypoitaka CCM baada ya Dkt. Bashiru kuondoka

Nchimbi mbona vice president mtarajiwa
 
Dk. Emmanuel Nchimbi inabidi afanye kazi ya ziada kurudi chamani. Martin Shigella alishindwa vibaya sana Ukatibu Mkuu wa UVCCM. Mwisho wa siku, CCM INA utaratibu wake wa kupata viongozi.
 
Nchimbi unataka kubomoa yote aliyiyajenga JPM na serikali yake?
huyu hapana,huyu si yule alinunuliwa na Lowassa hata akatoka nje jila la Lowassa lilipokatwa?
Hatutaki.
 
Hivi unaempangia hii safi yako ni huyu huyu mwenyekiti au unae wako wa kuchonga?

Sasa subiri matokeo katika hao hapati hata mmoja specifically kama ni mpya.

Halafu usikute unawavurugia wenzako kijanja janja.
Hapo umesema kweli, hatuhitaji viongozi wa matamko'ropo ropo'
 
Duh hata kheri james jamani?!
 
Duh hata kheri james jamani?!
Huyu ccm ikitaka kuimarika imfukuze uanachama Kama ilivyofanya kwa Member kwani kakiharibia Sana chama kwa Yale matamko yake ya chili na kuhamasisha mauaji kwa wapinzani! Afukuzwe Mara moja haifai ccm!
 
Reactions: MTK
Huyu ccm ikitaka kuimarika imfukuze uanachama Kama ilivyofanya kwa Member kwani kakiharibia Sana chama kwa Yale matamko yake ya chili na kuhamasisha mauaji kwa wapinzani! Afukuzwe Mara moja haifai ccm!
Hafai hata kidogo, na kuomba kwake msamaha ni uthibitisho alivyo kiongozi duni kabisa kwani alitegemea mjomba wake atatawala miaka mia akilinda uchafu wao!! imekula kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…