Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Katika Dira ya maendeleo 2050 serikali unapaswa kufanya mapinduzi makubwa katika sehemu zifuatazo.
1. Kufanya mapinduzi kwenye sekta ya kilimo (Tanzania agriculture revolution) Hadi kufika 2050 kilimo kiwe kinachangia Pato la Taifa kwa asilimia kuanzia 40+
2. Sekta ya utalii nayo inahitaji maboresho makubwa
3. Kudhibiti population . Nilazima kuwe na sera madhubuti za uzazi wa mpango katika ku control population.
4. Utawala Bora zaidi ndio nguzo ya mafanikio
Asanteni maoni yangu ndio hayo