Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Mmhh!Kudhibiti population . Nilazima kuwe na sera madhubuti za uzazi wa mpango katika ku control population.
SawaMmhh!
Uzazi wenyewe ulivyo wa shida zama za leo. Mtu anazaa watoto wawili alifika wa tatu matatizo ya tumbo la uzazi yanaanza.
Acheni watu wazaane waujaze ulimwengu
😅Nashauri kwenye dira ya taifa tuweke siku 6 za mapumziko.