Kuelekea 28/10; Nawaleteeni kwenu Salaamu toka 'Msimbazi'.

Kuelekea 28/10; Nawaleteeni kwenu Salaamu toka 'Msimbazi'.

Na Kuna [HASHTAG]#Penalt[/HASHTAG] Ya Wazi Refa Amepeta. Au [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Munasemaje?
Duh nyie kila kitu mnalalamika mnaonewa...khaaa utadhan watoto wa kambo kwa malalamiko.
Haya nendeni FIFA mkadai pointi zenu
 
Back
Top Bottom