sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Kuelekea 30/09/2018, ambapo Bingwa mtetezi wa TPL, Simba SC atapambana na Ndala katika dimba la Taifa Stadium. Hii itakua ni mara ya kwanza kwa timu hizi kukutana katika msimu huu, na hii ni baada ya Ndala kumkimbia Simba SC katika michuano ya Kagame.
Baada ya panga pangua ya mda mrefu, wachambuzi manguli mbali mbali wa soka huku wakiangalia performance ya mchezaji mmoja mmoja, wamekuja na combined 1st 11 ifuatayo baina ya hizi timu 2;
Kikosi cha Kwanza:
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Asante Kwasi
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondani
6. Jonas Mkude
7. Hassan Dilunga
8. Papy Kabamba Tshitshimbi
9. Meddie Kagere
10. Emmanuel Okwi
11. Shiza kichuya
Kikosi cha Akiba:
1. Beno Kakolanya
2. Gadiel Michael
3. Mohammed Hussein
4. Pascal Wawa
5. James Kotei
6. Cloutis Chama
7. Deus Kaseke
8. Mo Ibrahim
9. Heritier Makambo
Sasa kama katika Combined 1st 11, Mnyama kaanza kutawala kila kona mapema hivi.. Si katika 1st 11 bali pia katika Kikosi cha Akiba.. Hawa Ndala watatoka salama kweli 30/09/2018???
Nikiripoti toka katika ukumbi wa Habari Maelezo.. Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice).