Skythelimit
Member
- Jul 19, 2023
- 61
- 133
Pongezi kwenu JWTZ kuwa na maeneo mengi makubwa hapa Tanzania.
Maeneo mengi yapo strategically kama mtayatumia kama fursa ya kukuza uchumi wa Jeshi letu la wananchi.
Pale Nyegezi kona katikati ya jiji la Mwanza mna kiwanja local ambacho huwa mashindano mbalimbali ya michezo huwa yanafanyika hapo.
Sasa kutokana na eneo hilo kuwa lipo vizuri na mjini kati kabisa, mnaweza kulibadilisha liwe la kisasa kabisa kwa kujenga uwanja wa mpira ambao timu za mataifa mbalimbali yanaweza kukodi kwa ajili ya kupiga kambi hapo kwa ajili ya mazoezi.
Jwtz kuwa na kiwanja cha mpira wa kisasa jijini Mwanza ni fursa ya kipekee kutokana kwamba jiji la Mwanza limepakana na nchi zote Kenya na Uganda ambao pia ni waandaaji wa mashindano hayo.
Tunajua jeshini kuna watu wa vipaji tofauti tofauti kama mainjinia wa ujenzi, tunaomba tuwaone katika mambo ya maendeleo kama haya siyo habari za kubeba magogo kwenye maenesho ya kitaifa.
Uwanja huu mnaweza kuu design kuwa wa kisasa wa kuchukua watu 15000 hadi 20000.
Hata kama mashindano ya Afcon yakiisha bado mkoa Mwanza unawepa uhakika wa mashabiki wa mpira kujaa kwenye uwanja wenu huo kwa sababu watu wa Tanzania wanapenda mpira sana.