Salaam,
Nilikuwa naangalia matokeo ya darasa la nne kwa shule ya Kijijini kwetu. Kati ya watoto 39 wa darasa hilo, ni watoto 7 tu waliofaulu kwenda darasa la tano, tena kwa daraja la D. Shule hiyo ina walimu wawili tu, Mkuu wa shule na mwalimu mwenzake.
Shule hii, iliyoanzishwa mwanzoni mwa miaka ya 1990, inategemea walimu hawa wawili kufundisha mikondo 8. Serikali, tafadhali ongezeni ajira ili shule kama hii ipate walau walimu wanne!