Kuelekea ajira mpya za Walimu, hivi Serikali inaujua ukweli wa hali ilivyo mashuleni?

Kuelekea ajira mpya za Walimu, hivi Serikali inaujua ukweli wa hali ilivyo mashuleni?

Hawawezi kukuelewa. Ma CCM yalivyo na roho mbaya, kwao ni furaha kuona watoto wa kitanzania wakifail maana hawana pa kuwapeleka hata ikitokea wamefaulu. Mbwa nyie CCM Mungu anawaona.
Elimu isingechukuliwa kiitikadi za vyama. Tutaumia pakubwa
 
Elimu isingechukuliwa kiitikadi za vyama. Tutaumia pakubwa
Ndiyo ishakuwa hivyo. Ukimsikiliza simbacha Nini yule Hana shida kabisa maana yeye kwao wanakula teuzi tu za ubalozi sijuwi wapi huko. Akina mkenda nao wale wale tu kasoro tarehe. In general tunaongozwa na watu wasiowabunifu kabisa. Ma CCM na viunga vyenu ni mbwa
 
Usije shangaa ukiambiwa na serikali kuwa, shule hiyo ina walimu 15 na ndiyo maana hata sasa inaweza pangiwa au isipangiwe hata mwalimu mmoja.
 
Salaam,

Nilikuwa naangalia matokeo ya darasa la nne kwa shule ya Kijijini kwetu. Kati ya watoto 39 wa darasa hilo, ni watoto 7 tu waliofaulu kwenda darasa la tano, tena kwa daraja la D. Shule hiyo ina walimu wawili tu, Mkuu wa shule na mwalimu mwenzake.

Shule hii, iliyoanzishwa mwanzoni mwa miaka ya 1990, inategemea walimu hawa wawili kufundisha mikondo 8. Serikali, tafadhali ongezeni ajira ili shule kama hii ipate walau walimu wanne!

Mitano tena....
 
Kuna baadhi ya maeneo ni hatarishi kwa watumishi kuishi huko. Unakuta kiji kina walevi wengi, wachawi hatari, wavivu kupita maelezo, ukizungumzia suala la maendeleo wanakupuuza tu.

Nani atakubali kukaa eneo kama hilo? Dada yangu alipangiwa kwenda kufundisha wilaya ya Uyui Mkoa wa Tabora. Alipoenda kuyaona mazingira ya shule na hali ya Kijiji akasema Bora ajishughukishe na ujasiriamali kuliko kwenda kupotea katika Kijiji kile.

Wazazi hawana mwamko wa elimu ni shida tupu!
Kuna vijiji hata watendaji wanapendekezwa na wazee wa koo zenye nguvu; akilelewa na DED kwa taratibu za serikali wanamkataa hadharani kwenye mkutano, anarudi kwaa DED
 
Salaam,

Nilikuwa naangalia matokeo ya darasa la nne kwa shule ya Kijijini kwetu. Kati ya watoto 39 wa darasa hilo, ni watoto 7 tu waliofaulu kwenda darasa la tano, tena kwa daraja la D. Shule hiyo ina walimu wawili tu, Mkuu wa shule na mwalimu mwenzake.

Shule hii, iliyoanzishwa mwanzoni mwa miaka ya 1990, inategemea walimu hawa wawili kufundisha mikondo 8. Serikali, tafadhali ongezeni ajira ili shule kama hii ipate walau walimu wanne!
Tajeni jina la hiyo shule huenda imejaa walimu hewaa
 
Usije shangaa ukiambiwa na serikali kuwa, shule hiyo ina walimu 15 na ndiyo maana hata sasa inaweza pangiwa au isipangiwe hata mwalimu mmoja.
Ifike tu mahali kuliko kudanganya waseme hizi shule zilijengwa kimakosa kuliko Hali ilivyo kwasasa. Kuna Mzee wangu alivyoona hii Hali akasema isiitwe shule Bali kituo chakulelea watoto.
 
Mkuu,dhana ya walimu hewa unaitafsiri vipi kwani? Nina ushahidi usio nashaka kuwa hii shule Ina walimu wawili(Wakike na wakiume). Hao hewa wako wapi asee?
 
Nadhani suala la kwanza ambalo serikali inabidi walifanyie kazi "seriously" ni msawazo. Kuna mrundikano mkubwa sana wa walimu mijini. Igongwe transfer ya lazima ya kuwatoa walimu mijini wawapeleke Isoko huko na uone jinsi serikali ilivyo na nguvu kazi kubwa ya walimu ambayo iko misallocated. Tukimaliza hiyo, then ndio twende kwenye kuongeza nafasi sasa.
Ni kwel,kuna shule zina walimu mpaka 30 afu karibia wote wamama,wachukue 10 wawapeleke huko
 
Yaan huwa nikiona hiz habar za walimu wawili,sjui muuguz mmoja huwa siamin mpaka siku nijionee na hakika notashangaa sana
Mkuu sijui natakiwa nifanyeje ili iaminike kuwa shule ninayoizungumzia Ina walimu wawili. Hata hvy kutoamini kwa baadhi ya watu inanifanya nihiso labda kweli hata serikali haijui hili tatizo
 
1/ corruption
2/poor leadership
3/lowages
4/poor infrastructure
NB; remember that we struggle for survive 🤔
 
Umeeleza vema mkuu ila ungehitimisha kwa kutoa ushauri wa nini kifanyike. Je, maeneo haya kulingana na sifa ulizoeleza hayahitaji huduma za kijamii pamoja na wataalamu? Watu wasio namwamko wa mambo muhimu wanatelekezwa aubwanatafutiwa namna yakuwafanya wajitambue?
Wacha Dunia isogee sogee mbele labda ipo siku wataamka. Kuna vijiji ukienda viko na hali duni kupita kiasi na wanavijiji wake walisharidhika na hali zao ,wanachojua wao ni kunywa pombe na kuvuta GOZO (tumbaku) kuanzia watoto wadogo wanakunywa pombe hatari.

Utumishi kwenye maeneo ya namna hiyo ni zaidi ya adhabu.

Labda wazawa wa maeneo hayo wapangiwe vituo vya kazi huko kwakuwa ni kwao wanaweza wakastahimili
 
Hawawezi kukuelewa. Ma CCM yalivyo na roho mbaya, kwao ni furaha kuona watoto wa kitanzania wakifail maana hawana pa kuwapeleka hata ikitokea wamefaulu. Mbwa nyie CCM Mungu anawaona.
Sitaki kuamini kwamba moto tutakaochomwa sisi ndio utakaowachoma wanasiasa, wanasiasa ni wauaji asee, wala sio wa kuwaamini watt wao wapo feza af wewe unayempigia kura mtoto wako hapati elimu bora, afya bora ni msoto wa hatari. dah ukisoma unawez kulia
 
Back
Top Bottom