Wazo zuri, ila sasa hapo tunatengeneza tena uhitaji wa mtu wa IT.Sasa serikali,inabadili uelekeo, kutumia online instruments!
Tatizo litaanza kupungua soon!
Kwahiyo mkuu hawa watoto waendelee na hao walimu wawili wakati wanasubiri muda wa online instruments ufike?Sasa serikali,inabadili uelekeo, kutumia online instruments!
Tatizo litaanza kupungua soon!
Umeeleza vema mkuu ila ungehitimisha kwa kutoa ushauri wa nini kifanyike. Je, maeneo haya kulingana na sifa ulizoeleza hayahitaji huduma za kijamii pamoja na wataalamu? Watu wasio namwamko wa mambo muhimu wanatelekezwa aubwanatafutiwa namna yakuwafanya wajitambue?Kuna baadhi ya maeneo ni hatarishi kwa watumishi kuishi huko. Unakuta kiji kina walevi wengi, wachawi hatari, wavivu kupita maelezo, ukizungumzia suala la maendeleo wanakupuuza tu.
Nani atakubali kukaa eneo kama hilo? Dada yangu alipangiwa kwenda kufundisha wilaya ya Uyui Mkoa wa Tabora. Alipoenda kuyaona mazingira ya shule na hali ya Kijiji akasema Bora ajishughukishe na ujasiriamali kuliko kwenda kupotea katika Kijiji kile.
Wazazi hawana mwamko wa elimu ni shida tupu!
Umetumiwa haki Yako kikatiba ya kutoa maoniHilo eneo utakuta limejaa vilaza waalimu watatoka wapi
Hakuna shule yenye walimu wawiliKwahiyo mkuu hawa watoto waendelee na hao walimu wawili wakati wanasubiri muda wa online instruments ufike?
Hakuna shule yenye walimu wawili
Umenisaidia kumjibu. Kweli kwa kuhadithiwa unaweza usiamini kuwa Kuna shule zenye walimu wawili. Mimi nimekuja kuamini kwa kuwa nimeshuhudia kwa macho shule niliyosoma huko kijijini.Ulipoanza kusema kuna mambo ya Online nikajua unahoja ila ulipoandika hichi kitu ni fika uko sehemu unakula asali ya nchi.
Unahaba wa walimu nimkubwa mnoo tena mnoo Sema nchi na uwezo wake hawawezi kuajiri walimu hao wanaohitajika
Online teaching yenyewe unayoongela ni kwa nchi ipi hiyo yaani? Tanzania? hii ambayo Shule ina Form 1 waliko 800 naa. Hapo hapo haina hata vyoo vya wanafunzi au majengo ya madarasa mazuri ndo watumia Ufundishaji wa mtandaoni?
Hata nchi zilizo endelea hazijafikia huko wewe ndo unaleta hizo ndoto tanzania?
Una uhakika na unachozungumza? Unaweza ku prove?Sasa serikali,inabadili uelekeo, kutumia online instruments!
Tatizo litaanza kupungua soon!
Hivi shule ina endeshwaje na walimu wawili ,huo ni uonevu kwa hao walimu na watoto ndo waathirika zaidi .Ila serikali duu.Salaam,
Nilikuwa naangalia matokeo ya darasa la nne kwa shule ya Kijijini kwetu. Kati ya watoto 39 wa darasa hilo, ni watoto 7 tu waliofaulu kwenda darasa la tano, tena kwa daraja la D. Shule hiyo ina walimu wawili tu, Mkuu wa shule na mwalimu mwenzake.
Shule hii, iliyoanzishwa mwanzoni mwa miaka ya 1990, inategemea walimu hawa wawili kufundisha mikondo 8. Serikali, tafadhali ongezeni ajira ili shule kama hii ipate walau walimu wanne!
Hivi shule ina endeshwaje na walimu wawili ,huo ni uonevu kwa hao walimu na watoto ndo waathirika zaidi .Ila serikali duu.
Hawawezi kukuelewa. Ma CCM yalivyo na roho mbaya, kwao ni furaha kuona watoto wa kitanzania wakifail maana hawana pa kuwapeleka hata ikitokea wamefaulu. Mbwa nyie CCM Mungu anawaona.Salaam,
Nilikuwa naangalia matokeo ya darasa la nne kwa shule ya Kijijini kwetu. Kati ya watoto 39 wa darasa hilo, ni watoto 7 tu waliofaulu kwenda darasa la tano, tena kwa daraja la D. Shule hiyo ina walimu wawili tu, Mkuu wa shule na mwalimu mwenzake.
Shule hii, iliyoanzishwa mwanzoni mwa miaka ya 1990, inategemea walimu hawa wawili kufundisha mikondo 8. Serikali, tafadhali ongezeni ajira ili shule kama hii ipate walau walimu wanne!