Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
*Simba na AL Ahly tripoli zote ziliingia makundi shirikisho mwaka 2022 Simba ikaishia robo fainali (ile wanachoma moto uwanjani na Orlando) na Al ahly Tripoli wakaenda mpaka nusu fainali
* Timu zote mbili ziitolewa na Orlando Pirates Simba ilitolewa robo fainali na Al Ahly tripoli ilitolewa Nusu fainali
*CAF CONFEDRATION CUP ilianzishwa mwaka 2004 na timu ya kwanza kutoka Tanzania kuingia group stage ni Dar es salaam Young Africans mwaka 2016 Yanga ya Manji
2. Mwaka 2010 simba ilishiriki tena ikafanikiwa kuitoa Lenghtens ya Zimbabwe lakini ikaja kutolewa ikatili kwenye raundi ya pili na Haras al Hodood ya Misri. Simba walipasuliwa goli 5-1 mechi ya away
3. Mwaa 2011 Simba iliingia Caf Confederation Cup baada ya kuondolewa klabu bingwa wakataiwa kucheza na DC Motema Pembe wakapsuka nje ndani na kuishia hatua hiyo
4. mwaka 2012 Simba ilitolewa na AL Ahly Shendi ya sudan kwa penalty katikaraundi ya pili
5.Mwaka 2018 Simba ilifurushwa raundi ya kwanza tu na El Masry kwa sare ya 2-2 faida ya goli la ugenini.
6. Mwaka 2022 Simba ilifanikiwa kuingia group stage ya shirikisho kwa mara ya kwanza ikumbukwe timu ya kwanza Tanzania kuingia group stage ya shirikisho ni Dar es salaam Young Africans mwaka 2016 ikarudia tena 2018 na timu ya pili ni Namungo mwaka 2021 kisha simba 2022 na Yanga tena 2023.
Soma Pia: Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

- Timu iliyoshiriki group stage caf confederation mara nyingi kutoka Tanzania ni Dar es salaam Young africans ( 2016, 2018 na 2023)
- Timu iliyofika mbali zaidi Cafcc ni Dar es salaam Young Africans Fainali mwaka 2023