Tukuulize kwanza we walikusaidia nin hao ulipokutana na mchovu alhilal ambaye hata robo hayupo?Ngoja tuwasaidie kwenye game, tunawapa Aucho, Bangala na Morrison au mnaonaje?
Au unahisi hili ni kombe la shirikisho kwamba utakutana na rivers au asec, huku baba unachagua mwenyewe kati ya mamelo, wydad au esperence, over.Tukuulize kwanza we walikusaidia nin hao ulipokutana na mchovu alhilal ambaye hata robo hayupo?
Na kibwana Shomari kama nyongeza.. si watani tunapenda washinde sema basi tu hawajuagi udugu hazina yetu [emoji1]Ngoja tuwasaidie kwenye game, tunawapa Aucho, Bangala na Morrison au mnaonaje?
hata muende mnadhiikiri uchi hamshindiWakuu,
Game ya Casablanca ni ngumu mno! Lazima uwe na wachezaji waliofiti kifizikia na kiakili muda wote wa mchezo.
Supercoach Robertinho ni fundi ila natoa ushauri mdogo tu. Hiki ndio kikosi changu cha mauaji huko. Mwarabu hatoboi hapa [emoji851]
Aishi Manula
Quattara Inonga Onyango
Kapombe Mzamiru Kanoute Kibu D
Saido Chama
Baleke
Sub: Nyoni, Phiri, Tshabalala, Ally, Sakho, Sawadogo, Kennedy, Banda na Israel.
Mfumo ni 3:4:2:1
Hili ndio kikosi langu, unaweza kutabiri chako. Kila lakheri Lunyasi #nguvumoja
Shida hilo toto Sakho linacheza na jukwaa sana yaani hadi kero ,sehemu ya kutoa pasi litadribble [emoji23][emoji23]Kweli inawezekana Ally akadaka na kule. Ila kiungo lazima tukaze sana, Baadae game ikiwa poa namtoa Saido aingie Nyoni kuvuruga mipango yao. Mwishoni namtoa Baleke aingie Sakho kwaajili ya kushtukiza kwa kasi mashambulizi.
Kwako muhimu magoli au aggregate? Unaweza kushinda 3 home na away ukachapwa 5.Nikikumbuka tulivyotishwa kwa Orlando afu dk 120 kwao tukajikuta tupo 1-0 aggregate 1-1 huwa sihofii ya Wydad ni mindset tu mbovuManula hayupo, ila kwa mwarabu nyumbani kwake naona inahitajika miujiza kwa upande wetu, kama tunaweza kupita kwa Mwamposa kabla ya kupanda ndege itapendeza pia.
Wale waarabu tulikuwa na nafasi ya kuwafunga atleast magoli matatu hapa nyumbani, tukafanya utani, kwenda na goli moja kule kwao ni dogo sana.
View attachment 2598486
Naunga mkono hoja Kiongozi. Hapa nyumbani Simba walicheza na Jukwaa sana tu. Wale walikuwa wanakufa hata goli 4.Manula hayupo, ila kwa mwarabu nyumbani kwake naona inahitajika miujiza kwa upande wetu, kama tunaweza kupita kwa Mwamposa kabla ya kupanda ndege itapendeza pia.
Wale waarabu tulikuwa na nafasi ya kuwafunga atleast magoli matatu hapa nyumbani, tukafanya utani, kwenda na goli moja kule kwao ni dogo sana.
View attachment 2598486
Kuna Jamaa anaitwa Junior anatoka Ivory Coast yaani anajua ni balaa. Wakimdhibiti huyo Wydad hawafungi kamwe. Mechi ya Dar hakucheza kwa sababu ya kadi 3 za njano.Ouatarra sidhani kama yupo na timu,Simba inabidi wawe wengi sehemu ya kiungo wamzunguke yule Jezi namba 5 anaitwa Jabran kama walivyofanya juzi wakikaba yule WAC wanakosa nguvu mechi nyingi alizokabwa yule inaisha kwa kufungwa au ushindi wa kubahatisha mnaweza kuangalia mechi za AS vita zote mbili,na Ya Js kabylie kule algeria na ya Simba Tz,uzuri ambao ni ubaya kwa WAC hawana njia mbadala ukishika kiungo chao
Hata zingekuwa 3 bado zingekuwa chache kwao.Manula hayupo, ila kwa mwarabu nyumbani kwake naona inahitajika miujiza kwa upande wetu, kama tunaweza kupita kwa Mwamposa kabla ya kupanda ndege itapendeza pia.
Wale waarabu tulikuwa na nafasi ya kuwafunga atleast magoli matatu hapa nyumbani, tukafanya utani, kwenda na goli moja kule kwao ni dogo sana.
View attachment 2598486
Kened makosa mengi unaweza kumuweka kened akusaidie kukabaka akasababisha penaltyQuattara Huyu mzito,hapo weka Kennedy
Yaani mkuu uko sawa na Mimi Yule beki hata onyango hafati tatzo ni kutokuaminiwa Kama uliwahi kucheza mpira utakubaliana na Mimi hakuna kitu kigumu Kama unacheza mpira Hadi mashabiki wako wanakuzomea ni shida SanaWengi hapa ndio kuna ubishi Quattara vs Kennedy. Ila Quattara bado namuona ni brilliant player basi tu.
Kachezeni 1-6-3-1 mtanishukuruWakuu,
Game ya Casablanca ni ngumu mno! Lazima uwe na wachezaji waliofiti kifizikia na kiakili muda wote wa mchezo.
Supercoach Robertinho ni fundi ila natoa ushauri mdogo tu. Hiki ndio kikosi changu cha mauaji huko. Mwarabu hatoboi hapa [emoji851]
Aishi Manula
Quattara Inonga Onyango
Kapombe Mzamiru Kanoute Kibu D
Saido Chama
Baleke
Sub: Nyoni, Phiri, Tshabalala, Ally, Sakho, Sawadogo, Kennedy, Banda na Israel.
Mfumo ni 3:4:2:1
Hili ndio kikosi langu, unaweza kutabiri chako. Kila lakheri Lunyasi #nguvumoja
Ngoja tuwasaidie kwenye game, tunawapa Aucho, Bangala na Morrison au mnaonaje?
Inshaallah...Nimeoteshwa Simba kutinga nusu fainali
Waarabu wakiwa kwao sio watu wazuri. Hadi nimeukumbuka wimbo wa BABA JEAN BAI BAI
Wakuu,