Kuelekea Casablanca, Simba twende namna hii!

Kuelekea Casablanca, Simba twende namna hii!

Tukuulize kwanza we walikusaidia nin hao ulipokutana na mchovu alhilal ambaye hata robo hayupo?
Au unahisi hili ni kombe la shirikisho kwamba utakutana na rivers au asec, huku baba unachagua mwenyewe kati ya mamelo, wydad au esperence, over.
 
Wakuu,

Game ya Casablanca ni ngumu mno! Lazima uwe na wachezaji waliofiti kifizikia na kiakili muda wote wa mchezo.

Supercoach Robertinho ni fundi ila natoa ushauri mdogo tu. Hiki ndio kikosi changu cha mauaji huko. Mwarabu hatoboi hapa [emoji851]

Aishi Manula
Quattara Inonga Onyango

Kapombe Mzamiru Kanoute Kibu D

Saido Chama

Baleke

Sub: Nyoni, Phiri, Tshabalala, Ally, Sakho, Sawadogo, Kennedy, Banda na Israel.

Mfumo ni 3:4:2:1

Hili ndio kikosi langu, unaweza kutabiri chako. Kila lakheri Lunyasi #nguvumoja
hata muende mnadhiikiri uchi hamshindi
 
Kweli inawezekana Ally akadaka na kule. Ila kiungo lazima tukaze sana, Baadae game ikiwa poa namtoa Saido aingie Nyoni kuvuruga mipango yao. Mwishoni namtoa Baleke aingie Sakho kwaajili ya kushtukiza kwa kasi mashambulizi.
Shida hilo toto Sakho linacheza na jukwaa sana yaani hadi kero ,sehemu ya kutoa pasi litadribble [emoji23][emoji23]
Yaani kwa sasa Kibu ni bora kuliko Sakho

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Manula hayupo, ila kwa mwarabu nyumbani kwake naona inahitajika miujiza kwa upande wetu, kama tunaweza kupita kwa Mwamposa kabla ya kupanda ndege itapendeza pia.

Wale waarabu tulikuwa na nafasi ya kuwafunga atleast magoli matatu hapa nyumbani, tukafanya utani, kwenda na goli moja kule kwao ni dogo sana.
View attachment 2598486
Kwako muhimu magoli au aggregate? Unaweza kushinda 3 home na away ukachapwa 5.Nikikumbuka tulivyotishwa kwa Orlando afu dk 120 kwao tukajikuta tupo 1-0 aggregate 1-1 huwa sihofii ya Wydad ni mindset tu mbovu

Ni akili hizihizi zilizotufanya tupigwe na Raja home tulikalia kuamini uwanja kuliko kucheza kwenyewe.
Ni akili hizihizi za kuamini uwanja ndizo zilizotufanya tufungwe na Makhikhiri 3-1 nyumbani huku tumetoka kushinda away 2-0
Hivi Makhiikhiri wale hata katika hali ya kawaida walijua watatuchapa 3 kwenye home ground yetu? Tuliwazuia wasitufunge goli kwao ila tukaruhusu watufunge kwetu tena 3 , tuliweza kufunga goli 2 kwao ila tulifeli kufunga goli hizo nyumbani ambako wao walikuwa underdogs.Kitu muhimu ni kujiandaa kwa angle zote tu yaani uchezwe mpira , na zile tabia za ukivutwa au kukanyagwa kidogo unalala chini tuache maana hiyo imekuwa tabia ya wachezaji hasa wa mbele , akiguswa kidogo analala huku maadui wakiwahi kutushambulia kwa mpira uliopotezwa kizembe na mchezaji wetu.

Sihitaji ushindi ugenini nahitaji kufuzu tu in any way and at any angle

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Manula hayupo, ila kwa mwarabu nyumbani kwake naona inahitajika miujiza kwa upande wetu, kama tunaweza kupita kwa Mwamposa kabla ya kupanda ndege itapendeza pia.

Wale waarabu tulikuwa na nafasi ya kuwafunga atleast magoli matatu hapa nyumbani, tukafanya utani, kwenda na goli moja kule kwao ni dogo sana.
View attachment 2598486
Naunga mkono hoja Kiongozi. Hapa nyumbani Simba walicheza na Jukwaa sana tu. Wale walikuwa wanakufa hata goli 4.
 
Timu ni build up plan. Kupanga kikosi hakuna effect yoyote zaidi ya kupanga namna ya uchezaji, ktk kikosi chako ungeeleza timu inacheza vipi.
 
Ouatarra sidhani kama yupo na timu,Simba inabidi wawe wengi sehemu ya kiungo wamzunguke yule Jezi namba 5 anaitwa Jabran kama walivyofanya juzi wakikaba yule WAC wanakosa nguvu mechi nyingi alizokabwa yule inaisha kwa kufungwa au ushindi wa kubahatisha mnaweza kuangalia mechi za AS vita zote mbili,na Ya Js kabylie kule algeria na ya Simba Tz,uzuri ambao ni ubaya kwa WAC hawana njia mbadala ukishika kiungo chao
Kuna Jamaa anaitwa Junior anatoka Ivory Coast yaani anajua ni balaa. Wakimdhibiti huyo Wydad hawafungi kamwe. Mechi ya Dar hakucheza kwa sababu ya kadi 3 za njano.
 
Manula hayupo, ila kwa mwarabu nyumbani kwake naona inahitajika miujiza kwa upande wetu, kama tunaweza kupita kwa Mwamposa kabla ya kupanda ndege itapendeza pia.

Wale waarabu tulikuwa na nafasi ya kuwafunga atleast magoli matatu hapa nyumbani, tukafanya utani, kwenda na goli moja kule kwao ni dogo sana.
View attachment 2598486
Hata zingekuwa 3 bado zingekuwa chache kwao.
 
Wengi hapa ndio kuna ubishi Quattara vs Kennedy. Ila Quattara bado namuona ni brilliant player basi tu.
Yaani mkuu uko sawa na Mimi Yule beki hata onyango hafati tatzo ni kutokuaminiwa Kama uliwahi kucheza mpira utakubaliana na Mimi hakuna kitu kigumu Kama unacheza mpira Hadi mashabiki wako wanakuzomea ni shida Sana
 
Wakuu,

Game ya Casablanca ni ngumu mno! Lazima uwe na wachezaji waliofiti kifizikia na kiakili muda wote wa mchezo.

Supercoach Robertinho ni fundi ila natoa ushauri mdogo tu. Hiki ndio kikosi changu cha mauaji huko. Mwarabu hatoboi hapa [emoji851]

Aishi Manula
Quattara Inonga Onyango

Kapombe Mzamiru Kanoute Kibu D

Saido Chama

Baleke

Sub: Nyoni, Phiri, Tshabalala, Ally, Sakho, Sawadogo, Kennedy, Banda na Israel.

Mfumo ni 3:4:2:1

Hili ndio kikosi langu, unaweza kutabiri chako. Kila lakheri Lunyasi #nguvumoja
Kachezeni 1-6-3-1 mtanishukuru

Guvu moya 😀
 
Simba aende na kikosi hiki ally salimu,shomy, onyango,inonga, kened,mo Hussein, viungo sadio, mzamiru,nyoni forward bareke na kibu D Hadi dakika 45 sisi nikulinda na kufanya kaunta attack kibu anaweza kukaba na kuplace huku bareke yeye nikuwasumbua wale mabeki wao kati full beki zote nikushambulia na kulud kukaba kipind Cha pili Sasa nikumtoa nyoni aingie chama na pia atoke Kennedy anaingia saido huku sab ya mwisho ni kibu D anaingia Phil baleke anatakiwa amalize mechi yote
 
Inonga na Kibu D wameleta tabu sana.Watu wanatapika sana kwa mimba changa.
Mbinuko umeleta maneno sana.Gongowazi wote wamegeuka washihiri.
 
Wakuu,

Game ya Casablanca ni ngumu mno! Lazima uwe na wachezaji waliofiti kifizikia na kiakili muda wote wa mchezo.

Supercoach Robertinho ni fundi ila natoa ushauri mdogo tu. Hiki ndio kikosi changu cha mauaji huko. Mwarabu hatoboi hapa [emoji851]

Aishi Manula
Quattara Inonga Onyango

Kapombe Mzamiru Kanoute Kibu D

Saido Chama

Baleke

Sub: Nyoni, Phiri, Tshabalala, Ally, Sakho, Sawadogo, Kennedy, Banda na Israel.

Mfumo ni 3:4:2:1

Hili ndio kikosi langu, unaweza kutabiri chako. Kila lakheri Lunyasi #nguvumoja

Hapo manula mtoe akae Salim
 
Back
Top Bottom