Kuelekea Casablanca, Simba twende namna hii!

Mimi napendekeza huyo Mwamposa bora tusafiri nae kabisa.
 
Mfumo mzuri..

Na Mimi nilimshauri Robertinho kwenda na 3 :4 :2 : 1

BACK THREE.
KENEDY.
Inonga.
Onyango

Viungo WANNE.
Kapombe, shabalala, Mzamiru na kanute..

Viungo wawili wa juu.
KIBU na chama.

Baleke.
👍
 
Mimi nashauri mjipange tu kwa ajili ya msimu ujao. Msimu huu, safari yenu ndiyo inatamatika Jumamosi.

Haya mambo ya kujigeuza Juma Mgunda, au Robertinho! Hayawezi kubadili ukweli.
 
Mimi nashauri mjipange tu kwa ajili ya msimu ujao. Msimu huu, safari yenu ndiyo inatamatika Jumamosi.

Haya mambo ya kujigeuza Juma Mgunda, au Robertinho! Hayawezi kubadili ukweli.
Kiukweli wabongo kila mtu sku hizi ni wataalamu wa mpira tuwe wawazi hao jamaa kuwafuga kama tunavyopanga sio rahs kumbuka wako nyumbani na wamehaidiwa manoti haswa sioni tukichomoka ila tunajipa natumain tu ,tuombe Mungu tu basi.
 
Inabidi mwende na beki mmoja, viungo watatu na washambuliaji 6
1-3-6

Kila lililo baya kwa makolo🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…