Kuelekea Casablanca, Simba twende namna hii!

Kuelekea Casablanca, Simba twende namna hii!

Manula hayupo, ila kwa mwarabu nyumbani kwake naona inahitajika miujiza kwa upande wetu, kama tunaweza kupita kwa Mwamposa kabla ya kupanda ndege itapendeza pia.

Wale waarabu tulikuwa na nafasi ya kuwafunga atleast magoli matatu hapa nyumbani, tukafanya utani, kwenda na goli moja kule kwao ni dogo sana.
View attachment 2598486
Mimi napendekeza huyo Mwamposa bora tusafiri nae kabisa.
 
Mfumo mzuri..

Na Mimi nilimshauri Robertinho kwenda na 3 :4 :2 : 1

BACK THREE.
KENEDY.
Inonga.
Onyango

Viungo WANNE.
Kapombe, shabalala, Mzamiru na kanute..

Viungo wawili wa juu.
KIBU na chama.

Baleke.
👍
 
Wakuu,

Game ya Casablanca ni ngumu mno! Lazima uwe na wachezaji waliofiti kifizikia na kiakili muda wote wa mchezo.

Supercoach Robertinho ni fundi ila natoa ushauri mdogo tu. Hiki ndio kikosi changu cha mauaji huko. Mwarabu hatoboi hapa [emoji851]

Aishi Manula
Quattara Inonga Onyango

Kapombe Mzamiru Kanoute Kibu D

Saido Chama

Baleke

Sub: Nyoni, Phiri, Tshabalala, Ally, Sakho, Sawadogo, Kennedy, Banda na Israel.

Mfumo ni 3:4:2:1


Hili ndio kikosi langu, unaweza kutabiri chako. Kila lakheri Lunyasi #nguvumoja
Mimi nashauri mjipange tu kwa ajili ya msimu ujao. Msimu huu, safari yenu ndiyo inatamatika Jumamosi.

Haya mambo ya kujigeuza Juma Mgunda, au Robertinho! Hayawezi kubadili ukweli.
 
Mimi nashauri mjipange tu kwa ajili ya msimu ujao. Msimu huu, safari yenu ndiyo inatamatika Jumamosi.

Haya mambo ya kujigeuza Juma Mgunda, au Robertinho! Hayawezi kubadili ukweli.
Kiukweli wabongo kila mtu sku hizi ni wataalamu wa mpira tuwe wawazi hao jamaa kuwafuga kama tunavyopanga sio rahs kumbuka wako nyumbani na wamehaidiwa manoti haswa sioni tukichomoka ila tunajipa natumain tu ,tuombe Mungu tu basi.
 
Inabidi mwende na beki mmoja, viungo watatu na washambuliaji 6
1-3-6

Kila lililo baya kwa makolo🙏🙏
 
Back
Top Bottom