secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Nataka iwe fundisho kwa machawa wengine wote 😎.Umenichekesha sana 🤣 🤣 🤣 ila umbakize ili iweje?
Nataka iwe fundisho kwa machawa wengine wote 😎.Umenichekesha sana 🤣 🤣 🤣 ila umbakize ili iweje?
Ninayoyapenda sanaaaaaaaaaaaaMambo unayo penda
Sijui.Unajua yuko wapi lakini?
Sasa utamvaaje hujui aliko?😂😂Sijui.
Nakushusha mgongoni kwangu, kapambane kwanza urudi wamekuchakaza sura, ma genZ wasikutamani.Utanipataje wakati Nipo NYUMA ya mgongo wa Binti wa zamani
Kwahy kila siku unapewa mapuziko ni mpaka uingie periodNinayoyapenda sanaaaaaaaaaaaa
Una ufala sana ujue 😂Yaan akushike matako bila kukupiga kidole mkund*ni uzi ufungwe...
Haya wahi haijapoaHaya jambo dogo tu hilo, acha nije nikusaidie baba Antipas
Asubuhi nilimwacha nyumbani, sasa sijui kama kashende saluni kufanya umbea au bado yuko nyumbani.Sasa utamvaaje hujui aliko?😂😂
Ukianza kunywa uji tu na homa zisizoisha, niambie nije nikusalimieHatari sana
Umesikia kiss ov loveSisis ndo vijana tusio waongo kabisaaa asijali asijaliii atakuwa safe 😃😃💥
Mnaombana nini ambacho hakiombeki hapa hadharani?Kuna kitu tunaombana wenyewe
Popoma Leo hakuja kuhara jukwaaniKwa kweli Leo unifurahisha na haka kavudeo 😂😂😂.
Xiao qui shui Superhuman 1995 njoo mkaone nyuma kwa popoma kulivyo.
Cc ngara23
Hapa kwenye kushikwa hapaakanishika na mikono yote miwili kwenye makalio
Sasa ungekua naye hapo kitandani leo asubuhi, usingemchapa ?Siko nayo karibu ipo mbaliii ase
Asubuhi alikuja na Uzi wake mmoja wenye uvundo mkali.Popoma Leo hakuja kuhara jukwaani
Daah kama tumegombana tusamehane naona unitakii mema 😆Nakushusha mgongoni kwangu, kapambane kwanza urudi wamekuchakaza sura, ma genZ wasikutamani.
Na hilo ndilo lengo langu haswa.Huyo atawekwa bed rest mwezi mzima baada ya kufumuliwa huko.