Kuelekea Dar Derby VPL Simba SC dhidi ya Yanga SC, One Touch Operation 3 Points

Yule jamaa aliyeingilia game alikwenda kuweka nn?
Goli la offside unashangilia...ww kweli bingwa wa kihistoria
Ni huyu hapa, alikwenda kufanya nini?
IMG_20200105_084927_870.jpeg
 
Kufurahi na kushangilia sare ni dalili kuwa umecheza na timu ambayo si level yako mtani..![emoji23]

Lakini kumbuka ule msimu uliopita droo ya kwanza ulishangilia sana, lakini round ya mwisho unajua Kagere alivyopelea kilio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kufurahi na kushangilia sare ni dalili kuwa umecheza na timu ambayo si level yako mtani..![emoji23]

Lakini kumbuka ule msimu uliopita droo ya kwanza ulishangilia sana, lakini round ya mwisho unajua Kagere alivyopelea kilio.
Tunajua hamkosi utetezi.

Mi nikwambie Mtani kilichotufurahisha ni kukuziba mdomo kwa kukuonyesha kwamba Yanga yupo level moja na wewe hasa mkiwa Uwanjani. Na ndio sababu tukatoka nyuma na kuja kusawazisha huku mkiwa mmeishiwa mbinu kabisa.

Mpo level nyingine mdomoni na mitandaoni tu mtani.
 
Hujanifunga sasa umeniziba vipi mdomo? Hiyo ni dalili huwezi kuifunga Simba.

Hilo kutoka nyuma na kusawazisha tuliifanya mkiwa mbele ya mabao matatu na yakarudi yote, kwa mabao ya Mombeki, Owino na Gilbert Kaze si jambo la kushangaza..Ushindi wako droo kubali mtani..!
 
Hivyo wewe uwezo wa kuifunga Yanga unao? Mdomo tumeufunga sababu mlishajiwekea 100% kwamba mnapata matokeo kwa kuidharau Yanga. Ndio sababu hata saa ya kutoka Uwanjani mlikuwa kama mmepata msiba.

Ile mechi ya 3- 3 nilikuwa Uwanjani na kipindi kile sisi tulikuwa juu yaani mlishangilia zaidi ya sisi jana.
 
Sijakufunga msimu uliopita..Hivi mara ya mwisho kuifunga Simba SC lini?

Hamtoi droo mpaka mpeleke jini uwanjani, ulienda kufanya nini ule msukule, basi mshinde na si droo[emoji23][emoji23]
Simba wamebebwa na refa, penati ya kupewa, lakini wapi,
 
Sijakufunga msimu uliopita..Hivi mara ya mwisho kuifunga Simba SC lini?
Naona unaingia tu nakutoka Mtani. 😀😀😀😀😀

Haya bwana. Ujumbe mpira unachezwa uwanjani na si mitandaoni.
 
Back
Top Bottom