king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,033
Sikuwa na sababu ya kulala mapema mkuu.....Naamini umeamini Mkuu. Bila shaka ulilala mapema.
Hahahaaa. Nilishakwambia huna jipya Mkuu.Sikuwa na sababu ya kulala mapema mkuu.....
Mtani kutoa suluhu na klabu namba 16 kwa ubora Afrika unaona kama umeshachukua ligi
Yule jamaa aliyeingilia game alikwenda kuweka nn?W
Wazee wa power bank Mungu anawaonaaa. Mshukuruni Mama kawanusuru kwa kipigo leo
Labda mm sijui matokeo kwani ulishinda?Hahahaaa. Nilishakwambia huna jipya Mkuu.
We jamaa wote tumeangalia mpira,Unaijua offside wewe?Yule jamaa aliyeingilia game alikwenda kuweka nn?
Goli la offside unashangilia...ww kweli bingwa wa kihistoria
Hii ni dalili kwamba bado hujazindukaYule jamaa aliyeingilia game alikwenda kuweka nn?
Goli la offside unashangilia...ww kweli bingwa wa kihistoria
Ha ha ha nyie mmeonekana vi under dog![emoji23] [emoji23]Labda mm sijui matokeo kwani ulishinda?
Siku zote mwenye timu mbovu ndo anashangilia sare
Underdog hushangilia draw......Ha ha ha nyie mmeonekana vi under dog![emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wao kila siku ni ushirikina tu mkuu.Ni huyu hapa, alikwenda kufanya nini?View attachment 1312770
Tunajua hamkosi utetezi.Kufurahi na kushangilia sare ni dalili kuwa umecheza na timu ambayo si level yako mtani..![emoji23]
Lakini kumbuka ule msimu uliopita droo ya kwanza ulishangilia sana, lakini round ya mwisho unajua Kagere alivyopelea kilio.
Hujanifunga sasa umeniziba vipi mdomo? Hiyo ni dalili huwezi kuifunga Simba.Tunajua hamkosi utetezi.
Mi nikwambie Mtani kilichotufurahisha ni kukuziba mdomo kwa kukuonyesha kwamba Yanga yupo level moja na wewe hasa mkiwa Uwanjani. Na ndio sababu tukatoka nyuma na kuja kusawazisha huku mkiwa mmeishiwa mbinu kabisa.
Mpo level nyingine mdomoni na mitandaoni tu mtani.
Hivyo wewe uwezo wa kuifunga Yanga unao? Mdomo tumeufunga sababu mlishajiwekea 100% kwamba mnapata matokeo kwa kuidharau Yanga. Ndio sababu hata saa ya kutoka Uwanjani mlikuwa kama mmepata msiba.Hujanifunga sasa umeniziba vipi mdomo? Hiyo ni dalili huwezi kuifunga Simba.
Hilo kutoka nyuma na kusawazisha tuliifanya mkiwa mbele ya mabao matatu na yakarudi yote, kwa mabao ya Mombeki, Owino na Gilbert Kaze si jambo la kushangaza..Ushindi wako droo kubali mtani..!
Hivyo wewe uwezo wa kuifunga Yanga unao? Mdomo tumeufunga sababu mlishajiwekea 100% kwamba mnapata matokeo kwa kuidharau Yanga. Ndio sababu hata saa ya kutoka Uwanjani mlikuwa kama mmepata msiba.
Ile mechi ya 3- 3 nilikuwa Uwanjani na kipindi kile sisi tulikuwa juu yaani mlishangilia zaidi ya sisi jana.
Naona unaingia tu nakutoka Mtani. πππππSijakufunga msimu uliopita..Hivi mara ya mwisho kuifunga Simba SC lini?