Kuelekea day 100 Gaza, Marekani kukabiliwa na Migomo serikalini

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
1. Mambo yenda yakiongezwa, si white house, mabakabaka, tiss ya huko, nk wataonyesha hadharani kutoridhika kwao na mambo yalivyo.

2. Hii sasa ni serikalini, kwamba mambo lukumba lukumba!

3. Kwamba kitanuka vilivyo huko kuelekea anniversary day 100 ya uvamizi wa Israel Gaza.

4. Mahsusi kwa wale wafia dini sasa, vipi hapo na hali hapo? Hawa nao ni mnaowaita wavaa kobazi aka vipedo?

5. Kwa hakika haki ya wapalestina italipwa hapa hapa duniani.

6. Kucheleweshwa sawa, ila watawalipa wote nasema mtawalipa.
 
1,600 Israeli Soldiers Suffer from Combat Stress as Mental Health System Faces Collapse

January 2, 2024

By Palestine Chronicle Staff Israeli media reported that 1,600 soldiers show symptoms of combat stress reaction as the country’s mental health system faces collapse.

At least 1,600 Israeli soldiers show symptoms of combat stress reaction and 250 were discharged from service for this reason, according to Israeli media.

The Israeli news website Walla reported on Tuesday that “symptoms of battle combat stress reaction have appeared on at least 1,600 Israeli soldiers since the start of the ground operation in the Gaza Strip about two months ago”.
 
Utakuwa msiba mkubwa huo kwa wale wenye wajomba zake Mungu huko
 
Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

Huu utopolo ulilishwa wapi kinyume cha maumbile?

Zombi la dini hebu tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wako ambaye husababisha mchinje watu...
 
Bila ufafanuzi kwa uzi wako huu:

Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

Posts zako zote ni ushuzi mtupu.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila ufafanuzi kwa uzi wako huu:

Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

Posts zako zote ni ushuzi mtupu.

Zombi la dini hebu tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wako ambaye husababisha mchinje watu...

Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye. Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa...

www.jamiiforums.com
 
Ushuzi
 
Niko busy sasa na ukombozi wa mama Tanzania:

Mbowe ajiuzulu mara moja Kama mwenyekiti wa CHADEMA

Nyuzi zako ushuzi baki nazo tu, honestly sizihitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…