ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #61
Huna hoja ila unaleta blaa blaa za hisia zako.Hapo awali nilikwambia mipango si matumizi, Kuna tofauti kubwa sana Kwenye kutunga sera au kuandaa mipango na kusimamia hiyo mipango walau ilete matokeo ya kile kilichokusudiwa hata kwa 80%.
Na pia Kuna tofauti kubwa katika ya kutunga sera nzuri na sera sahihi na madhubuti zinazoendana na uhalisia wa mazingira husika yaliyopo.
Hakuna mtu wa CCM mwenye uwezo wa kufanya hayo yote uliyoorodhesha hapo.
1. Kuhusu bima ya afya kwa wanainchi wote, hapa serikali ya CCM ilishashindwa siku nyingi sana sababu ya urasimu usiokuwa na kichwa Wala miguu kwanzia kwa wanainchi wenyewe mpaka hospitals za watu binafsi.
2.Moja ya wizara ambayo huwa Ina sera nzuri miaka yote ila hazitekelezeki hasa kutokana na watu walioshikilia wizara hiyo pamoja na bajeti ni wizara ya kilimo. Yaani unataka uachane na ku import mazao ya chakula halafu eti unatenga bajeti isiyozidi Tsh.300b eti ndio iende ikafund shughuli zote za kilimo kwenye taifa la watu 61m si utani huo? Huo mpango wa Bashe hautawezekana na mtaendelea kuimport mpaka mfuta ya kula.
Na pia ni Aibu kubwa sana kujinasibu eti mna mpango wa kutanua hectares za kilimo zifike 900k tu na wakati tunaambiwa nchi hii Ina Arable land Zaid ya hectares 5.5m
3.Kuhusu sekta ya utalii ngonjera zenu huwa ni zile zile tu, hoo Tuna mpango wa kuongeza idadi ya watalii wafike 5m, na wakati Sasa hivi hata watalii 2m tu ni wa kutafuta, kwanza Kuna kipi Cha maana mlichoboresha kwenye sekta ya utalii? Hotels Bado ni zile zile tu huduma za afya ni zile zile, Kuna kipi hasa Cha kukufanya wewe unaamini hadi kufika hiyo 2050 mtakuwa na influx ya watalii 5m?
4.Kuna kitu ambacho mtanzania hatakiwi kabisa kuongelea basi ni madini na nikionaga mtu anaongelea madini kama source ya kututoa hapa tulipo nakuona kama ni kichaa yaani mtu aliyechanganyikiwa... Hayo madini mikoa yanayopatikana ndio inaongoza kwa umasikini hapa Tanzania, unawezaje kumshawishi mtu mwenye akili timamu kwamba hayo madini Bado ni Mali ya watanzania na sio Mali ya wawekezaji waliongia mikataba ya miaka mia na serikali ya CCM?
5. Kununua dhahabu kama njia ya kukabiliana na fluctuation ya currency huko ni kushindwa namna ya kumanage balance of payments.
6.katafute machawa na wajinga wenzio ndio uwadanganye kuwa serikali ya Samia ina jali kuhusu local investors, hakuna raisi mpuuzi na WA ovyo ambaye anajali Zaid wageni kuliko wazawa kama hicho kibibi Cha kizanzibar
Kuhusu hizo tozo unazosema eti mazifuta si ndio tuliambiwa kwamba kama hatuzitaki tuhamie Burundi na tutake tusitake lazima tutalipa tozo.. unaandakia nini wewe mjinga?
7. Hii serikali ya Samia kama umeshindwa kutatua tatizo la maji hapa hapa dar tu ambapo ndio mji mkuu wa kibiashara nchini ndio itaweza kuondoa tatizo la maji huko vijijini?.. yaani hapa Dar es salaam tu Kuna wanatumia maji ya mitaloni kupikia mpaka leo hii ndio aje aondoe tatizo la maji huko Nyansamba na kwingineko? Tok unrealistic plans.
8,9 na 10 ni porojo na blah..blah tu za kisiasa ambazo kwa yeyote mwenye akili timamu anajua haziwezi kufanyika hata kwa asilimia 10
-Unasema Bajeti ya Wizara ya Kilimo ni bil.300,nilikwambia wewe ni mpumbavu nitakosea? Bajeti ya Kilimo ni 1.3T ,usicheze na Samia ndio maana anajenga hactares 500k plus za irrigation
-Ndio kwanza bima ya Afya Kwa wote imetungwa rasmi mwaka huu na utekelezaji wake in full ni ndani ya miaka 3,wewe unasema imeshindwa wakati hata implementation time frame Bado,ukiitwa mjinga utabisha?
-Madini sio ya Mikoa ni Mali ya Nchi na hela zake zinaingia kwenye mfuko Mkuu wa Serikali, matumizi yake hayafanywi kulingana na Mikoa yanakotoka,tukianza Hilo tutaua Nchi so Wacha ujinga.
-Sekta ya Madini Kwa Sasa inachangia 10% ya Pato la Taifa na inatakiwa kukuzwa Hadi kuchangia walau 20% ya GDP by 2030 na kuendelea.
-Kwa kuwa umekosea akili unadi eti hatuna mikakati ya kuongeza watalii,Sasa Royal tour zote 2 ni za kazi gani? Watalii wameshafika zaidi ya 3mln ,na Utalii umepita Madini kuleta forex,sijui unaongea nini.
-Nchi zote zinatumia dhahabu,Tanzania tulichelewa sana sijui wewe nyumbu unaongea nini yaani ๐๐
-Namba ndio zinaongea kuhusu local investors Sasa wewe hater wa SSH tukusaidiaje? Hawa ni wageni? ๐๐
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1863549112362082620?t=H8z-RnVmTlFWTJuqwXW3wg&s=19
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1866828779924099455?t=Mzonren-x_RRQajWSUMIqw&s=19
Na wageni wapo ku compliments pale wenyeji wamekwama sawa bwana nyumbu ๐ ๐
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1867121282241773709?t=QdIoZ3NhoiLnDO8n0CNSfw&s=19
-Unadhani kuanzia awamu ya I Hadi ya 5 wakishindwa kutatua shida ya Maji ndio Samia atatatua Kwa miaka 4? Tumia akili.
Hata hivyo shida ya Maji itamalizika baada ya mradi mkubwa wa bwawa la Kidunda unaotekelezwa na Samia najua hujui Niko hapa kukujuza Ili kuondoa upumbavu kichwani kwako ๐๐
View: https://www.instagram.com/p/DDPkNcmt4_W/?img_index=2&igsh=YTQzZWtwNWFmOXdo
Mwisho kama huna hoja na hujui kitu kausha badala ya kuanika ujinga wako.
View: https://www.instagram.com/reel/DDevoYAu3ag/?igsh=MTc4ZTI2N2Z6dmVlOA==