Kuelekea Dira Mpya ya Maendeleo 2050: Natamani Tanzania iwe namba 4 kwa uchumi Afrika na kuzipita Algeria, Morocco, Angola, Kenya na Ivory Coast

Hapo awali nilikwambia mipango si matumizi, Kuna tofauti kubwa sana Kwenye kutunga sera au kuandaa mipango na kusimamia hiyo mipango walau ilete matokeo ya kile kilichokusudiwa hata kwa 80%.

Na pia Kuna tofauti kubwa katika ya kutunga sera nzuri na sera sahihi na madhubuti zinazoendana na uhalisia wa mazingira husika yaliyopo.

Hakuna mtu wa CCM mwenye uwezo wa kufanya hayo yote uliyoorodhesha hapo.

1. Kuhusu bima ya afya kwa wanainchi wote, hapa serikali ya CCM ilishashindwa siku nyingi sana sababu ya urasimu usiokuwa na kichwa Wala miguu kwanzia kwa wanainchi wenyewe mpaka hospitals za watu binafsi.

2.Moja ya wizara ambayo huwa Ina sera nzuri miaka yote ila hazitekelezeki hasa kutokana na watu walioshikilia wizara hiyo pamoja na bajeti ni wizara ya kilimo. Yaani unataka uachane na ku import mazao ya chakula halafu eti unatenga bajeti isiyozidi Tsh.300b eti ndio iende ikafund shughuli zote za kilimo kwenye taifa la watu 61m si utani huo? Huo mpango wa Bashe hautawezekana na mtaendelea kuimport mpaka mfuta ya kula.

Na pia ni Aibu kubwa sana kujinasibu eti mna mpango wa kutanua hectares za kilimo zifike 900k tu na wakati tunaambiwa nchi hii Ina Arable land Zaid ya hectares 5.5m

3.Kuhusu sekta ya utalii ngonjera zenu huwa ni zile zile tu, hoo Tuna mpango wa kuongeza idadi ya watalii wafike 5m, na wakati Sasa hivi hata watalii 2m tu ni wa kutafuta, kwanza Kuna kipi Cha maana mlichoboresha kwenye sekta ya utalii? Hotels Bado ni zile zile tu huduma za afya ni zile zile, Kuna kipi hasa Cha kukufanya wewe unaamini hadi kufika hiyo 2050 mtakuwa na influx ya watalii 5m?

4.Kuna kitu ambacho mtanzania hatakiwi kabisa kuongelea basi ni madini na nikionaga mtu anaongelea madini kama source ya kututoa hapa tulipo nakuona kama ni kichaa yaani mtu aliyechanganyikiwa... Hayo madini mikoa yanayopatikana ndio inaongoza kwa umasikini hapa Tanzania, unawezaje kumshawishi mtu mwenye akili timamu kwamba hayo madini Bado ni Mali ya watanzania na sio Mali ya wawekezaji waliongia mikataba ya miaka mia na serikali ya CCM?

5. Kununua dhahabu kama njia ya kukabiliana na fluctuation ya currency huko ni kushindwa namna ya kumanage balance of payments.

6.katafute machawa na wajinga wenzio ndio uwadanganye kuwa serikali ya Samia ina jali kuhusu local investors, hakuna raisi mpuuzi na WA ovyo ambaye anajali Zaid wageni kuliko wazawa kama hicho kibibi Cha kizanzibar

Kuhusu hizo tozo unazosema eti mazifuta si ndio tuliambiwa kwamba kama hatuzitaki tuhamie Burundi na tutake tusitake lazima tutalipa tozo.. unaandakia nini wewe mjinga?

7. Hii serikali ya Samia kama umeshindwa kutatua tatizo la maji hapa hapa dar tu ambapo ndio mji mkuu wa kibiashara nchini ndio itaweza kuondoa tatizo la maji huko vijijini?.. yaani hapa Dar es salaam tu Kuna wanatumia maji ya mitaloni kupikia mpaka leo hii ndio aje aondoe tatizo la maji huko Nyansamba na kwingineko? Tok unrealistic plans.

8,9 na 10 ni porojo na blah..blah tu za kisiasa ambazo kwa yeyote mwenye akili timamu anajua haziwezi kufanyika hata kwa asilimia 10
Huna hoja ila unaleta blaa blaa za hisia zako.

-Unasema Bajeti ya Wizara ya Kilimo ni bil.300,nilikwambia wewe ni mpumbavu nitakosea? Bajeti ya Kilimo ni 1.3T ,usicheze na Samia ndio maana anajenga hactares 500k plus za irrigation

-Ndio kwanza bima ya Afya Kwa wote imetungwa rasmi mwaka huu na utekelezaji wake in full ni ndani ya miaka 3,wewe unasema imeshindwa wakati hata implementation time frame Bado,ukiitwa mjinga utabisha?

-Madini sio ya Mikoa ni Mali ya Nchi na hela zake zinaingia kwenye mfuko Mkuu wa Serikali, matumizi yake hayafanywi kulingana na Mikoa yanakotoka,tukianza Hilo tutaua Nchi so Wacha ujinga.
-Sekta ya Madini Kwa Sasa inachangia 10% ya Pato la Taifa na inatakiwa kukuzwa Hadi kuchangia walau 20% ya GDP by 2030 na kuendelea.

-Kwa kuwa umekosea akili unadi eti hatuna mikakati ya kuongeza watalii,Sasa Royal tour zote 2 ni za kazi gani? Watalii wameshafika zaidi ya 3mln ,na Utalii umepita Madini kuleta forex,sijui unaongea nini.

-Nchi zote zinatumia dhahabu,Tanzania tulichelewa sana sijui wewe nyumbu unaongea nini yaani 😁😁

-Namba ndio zinaongea kuhusu local investors Sasa wewe hater wa SSH tukusaidiaje? Hawa ni wageni? 👇👇

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1863549112362082620?t=H8z-RnVmTlFWTJuqwXW3wg&s=19

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1866828779924099455?t=Mzonren-x_RRQajWSUMIqw&s=19

Na wageni wapo ku compliments pale wenyeji wamekwama sawa bwana nyumbu 👇 👇

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1867121282241773709?t=QdIoZ3NhoiLnDO8n0CNSfw&s=19

-Unadhani kuanzia awamu ya I Hadi ya 5 wakishindwa kutatua shida ya Maji ndio Samia atatatua Kwa miaka 4? Tumia akili.

Hata hivyo shida ya Maji itamalizika baada ya mradi mkubwa wa bwawa la Kidunda unaotekelezwa na Samia najua hujui Niko hapa kukujuza Ili kuondoa upumbavu kichwani kwako 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DDPkNcmt4_W/?img_index=2&igsh=YTQzZWtwNWFmOXdo

Mwisho kama huna hoja na hujui kitu kausha badala ya kuanika ujinga wako.

View: https://www.instagram.com/reel/DDevoYAu3ag/?igsh=MTc4ZTI2N2Z6dmVlOA==
 
Wewe nyumbu Wacha upumbavu,kama huna akili ni wewe na kama hujui au huoni mipango na utekelezaji wake hiyo ni shida Yako .

Hakuna muujiza hapo tutakua na kuzidi hapo,Tanzania Ina fursa zote za kufika na kuvuka hiyo target Kwa sababu mipango imewekwa na utekezwaji unafanyika..

Mwaka huu 2024 tuna GDP ya $85bln ,tunapoanza utekelezaji wa Dira Mpya ya 2025 kuanzia Bajeti ya 2025/2026 tutakuwa na GDP ya zaidi ya $90bln.

Njia ya kuelekea kwenye Neema hii hapa 👇 👇

View: https://x.com/AnnaSarungi/status/1867183048271270293?t=cnMWN5XmHJF9j0SQ4F_NLw&s=19

Nyumbu ni baba yako mzazi msengee mkubwa wewe.

Mpumbavu ni mama yako aliyekuzaa, kubwa Jinga wewe.

Hakuna chochote kitakachotelekezeka hapo walau kwa 40% zaidi ya kuendelea kuwa ndoto za alinacha, ni wapumbavu machawa kama wewe ndio mtakaoamini hii mipango usiokuwa na uhalisia inatekelezeka.

Eti mmekuza GDP imefikia $89b kwa makusanyo yapi ya Kodi kwenye hii awamu ya Wala rushwa ambapo wakwepa Kodi wanaifurahia?? Unajua hata kinachoendelea huku mitaani kwanza na jinsi wafanya biashara wanavyolichukulia huyo bibi chura unayekesha humu kumlamba makalio.

Unaniletea data kutoka kwenye page ya TIC(taasisi ya serikali) Sasa unategemea admin wa hiyo page ataandika nini Zaid ya data za kufurahisha Samia?

Unafikiri mimi ni kondoo kama baba yako au babu yako ambao ukikaa nao kitako na kuwaambia kinachoendelea kwenye serikali ya Samia wanakuamini kwa 100%? Mimi Nina akili zangu timamu na ziwezi kuchotwa na hizo takwimu feki za serikali Kumma wewe.
 
Huna hoja ila unaleta blaa blaa za hisia zako.

-Unasema Bajeti ya Wizara ya Kilimo ni bil.300,nilikwambia wewe ni mpumbavu nitakosea? Bajeti ya Kilimo ni 1.3T ,usicheze na Samia ndio maana anajenga hactares 500k plus za irrigation

-Ndio kwanza bima ya Afya Kwa wote imetungwa rasmi mwaka huu na utekelezaji wake in full ni ndani ya miaka 3,wewe unasema imeshindwa wakati hata implementation time frame Bado,ukiitwa mjinga utabisha?

-Madini sio ya Mikoa ni Mali ya Nchi na hela zake zinaingia kwenye mfuko Mkuu wa Serikali, matumizi yake hayafanywi kulingana na Mikoa yanakotoka,tukianza Hilo tutaua Nchi so Wacha ujinga.
-Sekta ya Madini Kwa Sasa inachangia 10% ya Pato la Taifa na inatakiwa kukuzwa Hadi kuchangia walau 20% ya GDP by 2030 na kuendelea.

-Kwa kuwa umekosea akili unadi eti hatuna mikakati ya kuongeza watalii,Sasa Royal tour zote 2 ni za kazi gani? Watalii wameshafika zaidi ya 3mln ,na Utalii umepita Madini kuleta forex,sijui unaongea nini.

-Nchi zote zinatumia dhahabu,Tanzania tulichelewa sana sijui wewe nyumbu unaongea nini yaani 😁😁

-Namba ndio zinaongea kuhusu local investors Sasa wewe hater wa SSH tukusaidiaje? Hawa ni wageni? 👇👇

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1863549112362082620?t=H8z-RnVmTlFWTJuqwXW3wg&s=19

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1866828779924099455?t=Mzonren-x_RRQajWSUMIqw&s=19

Na wageni wapo ku compliments pale wenyeji wamekwama sawa bwana nyumbu 👇 👇

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1867121282241773709?t=QdIoZ3NhoiLnDO8n0CNSfw&s=19

-Unadhani kuanzia awamu ya I Hadi ya 5 wakishindwa kutatua shida ya Maji ndio Samia atatatua Kwa miaka 4? Tumia akili.

Hata hivyo shida ya Maji itamalizika baada ya mradi mkubwa wa bwawa la Kidunda unaotekelezwa na Samia najua hujui Niko hapa kukujuza Ili kuondoa upumbavu kichwani kwako 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DDPkNcmt4_W/?img_index=2&igsh=YTQzZWtwNWFmOXdo

Mwisho kama huna hoja na hujui kitu kausha badala ya kuanika ujinga wako.

View: https://www.instagram.com/reel/DDevoYAu3ag/?igsh=MTc4ZTI2N2Z6dmVlOA==

Nimekwambia mpumbavuu ni mama yako mzazi maana ndio mtu unayeweza kumdanganya kirahisi na hizo takwimu za kupikwa hapa na akakubaliana na wewe.

Kuhusu suala la bima ya afya serikali yako ya CCM imeshashindwa kulifanyia kazi tangu siku nyingi na hata hii ya Samia nayo itashindwa vile vile maana ndio serikali dhaifu isiyojua hata kusimamia utekelezaji, unafikiri kusimamia watu 62m wote wawe na bima ambapo wengi wao hawajui hata Nini maana ya bima ni jambo jepesi eeh? Mbwa kabisa wewe nenda kawadanganye huko kwenu ndio maana umeshindwa hata kuelewa point yangu bloody fool.

Madini ya Alumasi kupatikana Shinyanga ilipaswa angalau kuwepo na reinvestment kwenye mkoa husika ambapo huduma zote muhimu ziwe zinapatikana kwa kutumia rasilimali zilizoko pale pale, kama ambavyo nchi za Botwasana na south Africa wanafanya... Sasa wewe unaona ni sahihi serikali kukusanya mapato yanayotokana na Alumasi inayochimbwa Shinyanga kisha kwenda kujenga daraja la busisi au kujenga vyoo huko kilwa wakati huo wakazi wa Shinyanga wakiachwa hawana hata huduma za maji safi na salama?? Ni mpumbavuu pekee tu kama wewe na asiyejua umuhimu wa reinvesting ndio hatonielewa.

Royal tour ni maigizo yaliyo underachieve na hakuna maajabu yoyote yaliyotokana na Yale maigizo, unaweza ukaniambia hata total sales zilizotokana na hiyo movie? Kama hata watanzania tu wenyewe hawana muda na kuifuatilia Leo hii useme eti imechangia ongezeko la watalii? Kamdanganye bibi yako msengee wewe, Tanzania hii hata watalii 2m tu kwa mwaka ni wa kutafuta kwa tochi halafu uko hapa watalii wamefika 3m lini??? Unaniletea takwimu zilizopikwa na machawa wenzio wa TANAPA ndio niziamini??? Mwehu wewe.

Hii serikali yako ya bibi chura hakuna kitu cha ajabu itakachofanya kulinganisha na zilizopita, na matatizo yote atayaacha kama alivyoyakuta, kwanzia maji, umeme na umaskini maana hawezi kuiongoza hii nchi zaidi ya kushirikiana na mafisadi wenziw kuiba, na kuhusu GDP ya 700b hizo ni ndito za alinacha, labda CCM ife Leo kisha ije serikali nyingine kabisa ya watu wenye maono na utekelezaji.

Unaniletea reference kutoka kwenye pages ya taasisi za serikali unafikiri na Mimi ni mtazamaji wa TBC eti??? Kumma kweli wewe, nenda kawapostie wajinga wajinga kama wewe wanaoamini chochote kinachosemwa na serikali.

Huyo bibi chura legacy pekee atakayoiacha ni kuwa na serikali mbovu inayofuga mafisasi na majizi pamoja na machawa ambao wako tayari kuolewa kama wewe....

Serikali ya Chura Kiziwe umekuja jiongeze matatizo ambayo watanzania wengi waliamini yatafikia mwisho baada ya mtangulizi wake kuondoka... Utekaji umekuwa ni jambo la kawaida tu sasa hivi, hawezi hata kuwawajibisha watendaji, watu wanafanya kazi kimazoea waledi hakuna.. halafu ndio unategemea eti atatuvusha hapa tulipo?? Mbwa wewe wewe lamba asali kama kimya hakuna cha maana kinachoweza kufanywa na huyu bibi chura.
 
Unatumia makalio jadili hisia zako.Sipotezi mda Kwa kufanya argument na fool 🚮🚮
20240626_202815.jpg
 
Unatumia makalio jadili hisia zako.Sipotezi mda Kwa kufanya argument na fool 🚮🚮
View attachment 3175390
Sasa wewe kinabo una arguments gani ulizoziweka hapa Zaid ya kuniletea madesa yaliyoandikwa na machawa wenzio ambayo wote tunakuja ni data za kupikwa fala wewe?

Unafikiri uchumi unapandishwa kwa mipango ambayo inaishia makaratasini tu bila kuweka nguvu kwenye utekelezaji eti ehee?

Unafikiri bila kuthibiti mianya ya rushwa na ubadhirifu unaolitafuna hili taifa Kuna chochote huyo bibi chura anaweza kukitimiza?... Mbwa kabisa wewe Rudi kwanza kwa bwana yako ukakalie mboho maana nyie machawa nyie ndio michezo yenu hiyo.

Eti miaka 25 ijayo mnajipangia kuwa ndani ya top 5 ya nchi zenye uchumi mkubwa na GDP ya 700b halafu na nyie mafisadi na machawa mtaiba wapi wakati hizo hizo pesa za kufanya miradi ya maendeleo ndio mnategemea kuzidokoa wapuuzi nyie?

Nchi yenyewe hata umeme wa uhakika hamna na inaonesha wazi ni tatizo lililoshindikana tangu Uhuru halafu Leo hii eti huyu chura kiziwi ambaye amezungukwa na majizi ndio unategemea aje kulimaliza? Matako ya bibi yako!

Wewe furahia kulamba asali tu, lakini kama ukijua hakuna Jambo lolote la kuacha alama ambalo huyu bibi chura atafanya kwa muda wowote atakaokuwepo kwenye hicho kiti mbwa wewe.
 
Tanzania imeandaa Dira Mpya ya Maendeleo ya 2050 ambapo utekelezaji wake utaanza rasmi mwaka 2025/26 baada ya kujadiliwa na kupitishwa na Bunge kabla ya Rais kuidhinisha rasmi.

Kwa Sasa Serikali imezindua rasimu na ambapo zoezi la maboresho linaendelea ikiwemo kutoa maoni.

Sasa Kwa wapanga mipango pamoja na kuweka malengo ya kuwa na GDP ya $ 700bln na per Capita income ya $4700 by 2050 napendekeza pia tuweke kigezo Cha kiushindani na Nchi zingine Ili tuwe tunajipima na wengine.

Tunapoanza utekelezaji wa Hiyo Dira Natamani inapofika mwaka huo au kabla ya mwaka huo basi Tanzania iwe ni Kati ya Nchi 5 Zenye Uchumi mkubwa Barani Afrika ambapo tunatakiwa kutoka nafasi ya 10 tuliyoko Sasa Hadi kufikia nafasi ya 4 na kama.tukishindwa basi tuwe nafasi ya 5.

Tanzania tuna sababu na vigezo vyote vya kufikia nafasi ya 4 Kwa kuanzia na Rasilimali asili zilizopo.

Nafahamu Kila Nchi Ina Mali asili lakini Kwa Tanzania tutakuwa na advantage ya idadi kubwa ya watu.

Kwa Sasa Tanzania ni namba 5 kwa Wingi wa watu hapa Afrika na bila shaka tunaendelea kuwa namba 5 miaka Mingi ijayoa Sasa inatakiwa tutumie Wingi wetu kuwa fursa ya soko na Uchumi Ili tukuze Uchumi wa Nchi yetu.

Kama tumeweza kuingia top 10 Kwa nini tushindwe kuwa namba 4?

View attachment 3174529

Hivyo basi by 2050 ni matumaini yangu kwamba Msimamo wa Ligi ya Uchumi Afrika Mwaka 2050 utakuwa kama ifuatavyo.,

1.Nigeria
2.Egypt
3.Ethiopia
4.Tanzania
5.Algeria
6.South Africa
7.DR Congo
8.Morocco
9.Angola
10..Kenya
11.Ivory Coast
12.Uganda.
Msimamo wako umepanga kwa kuzingatia vigezo gani?
 
Sasa wewe kinabo una arguments gani ulizoziweka hapa Zaid ya kuniletea madesa yaliyoandikwa na machawa wenzio ambayo wote tunakuja ni data za kupikwa fala wewe?

Unafikiri uchumi unapandishwa kwa mipango ambayo inaishia makaratasini tu bila kuweka nguvu kwenye utekelezaji eti ehee?

Unafikiri bila kuthibiti mianya ya rushwa na ubadhirifu unaolitafuna hili taifa Kuna chochote huyo bibi chura anaweza kukitimiza?... Mbwa kabisa wewe Rudi kwanza kwa bwana yako ukakalie mboho maana nyie machawa nyie ndio michezo yenu hiyo.

Eti miaka 25 ijayo mnajipangia kuwa ndani ya top 5 ya nchi zenye uchumi mkubwa na GDP ya 700b halafu na nyie mafisadi na machawa mtaiba wapi wakati hizo hizo pesa za kufanya miradi ya maendeleo ndio mnategemea kuzidokoa wapuuzi nyie?

Nchi yenyewe hata umeme wa uhakika hamna na inaonesha wazi ni tatizo lililoshindikana tangu Uhuru halafu Leo hii eti huyu chura kiziwi ambaye amezungukwa na majizi ndio unategemea aje kulimaliza? Matako ya bibi yako!

Wewe furahia kulamba asali tu, lakini kama ukijua hakuna Jambo lolote la kuacha alama ambalo huyu bibi chura atafanya kwa muda wowote atakaokuwepo kwenye hicho kiti mbwa wewe.
Insane 🚮🚮
20230215_120116.jpg
20241017_202744.jpg
 
Back
Top Bottom