Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Wakuu habari zenu?
Baada ya kupatikana timu 8 katika mashindano ya
uefa champions league Kesho tarehe 16 March
kuanzia saa saba kamili mchana kutakuwa na
upangaji wa mechi katika hatua ya robo fainali
upangaji huo utafanyika UEFA headquarters in
Nyon, Switzerland.
Tukumbuke fainali hizo zitafanyika kiwanja cha NSC
Olimpiyskiy Stadium katika mji wa Kiev nchini
Ukraine tarehe 26 mei 2018.
Timu ambazo zimefanikiwa kutinga hatua hiyo ya
robo fainali ni kama zifuatazo hapo chini
Baada ya kupanga hizo timu mechi zitachezwa
tar 2 na 3 April 2018 na marudiano ni
tarehe 10 na 11 April 2018.
Nini utabiliwako ?
Utabiri wangu huu hapa
Man city vs Real Madrid.
Sevilla vs Juventus.
Liverpool vs Roma.
Barcelona vs Bayern Munich.
Nawasilisha.