Kuelekea draw ya robo fainali ya mechi za uefa champions league msimu wa 2017/2018 nini utabiri wako?

Kuelekea draw ya robo fainali ya mechi za uefa champions league msimu wa 2017/2018 nini utabiri wako?

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
7,918
Reaction score
20,037
Wakuu habari zenu?

Baada ya kupatikana timu 8 katika mashindano ya

uefa champions league Kesho tarehe 16 March

kuanzia saa saba kamili mchana kutakuwa na

upangaji wa mechi katika hatua ya robo fainali

upangaji huo utafanyika UEFA headquarters in

Nyon, Switzerland.

Tukumbuke fainali hizo zitafanyika kiwanja cha NSC

Olimpiyskiy Stadium katika mji wa Kiev nchini

Ukraine tarehe 26 mei 2018.


Timu ambazo zimefanikiwa kutinga hatua hiyo ya

robo fainali ni kama zifuatazo hapo chini


IMG_1521142736.695800.jpg


Baada ya kupanga hizo timu mechi zitachezwa

tar 2 na 3 April 2018 na marudiano ni

tarehe 10 na 11 April 2018.

Nini utabiliwako ?

Utabiri wangu huu hapa


Man city vs Real Madrid.

Sevilla vs Juventus.

Liverpool vs Roma.

Barcelona vs Bayern Munich.


Nawasilisha.
 
sevilla v/s bayern
juventus v/s barcelona
roma v/s man city
real v/s liverpool
hivyo tu
 
Wachawi wa hizi kazi ngoja tuwape utabili alafu ole wenu kesho msiniappriate:

Sevila vs Barcelona
Juventus vs Bayern Munich
Liverpool vs Real Madrid
Roma vs man city
 
Barcelona vs Real madrid
Liverpool vs Bayern munich
Juventus vs man city
Sevila vs Roma
 
Natamani Barca wakutanishwe na vile vitoto vya malkia i mean Livermasikini..maana kelele zishaanza tayali,,,

My prediction:

Barcelona____Liverpoor
Real madrid____Roma
Man city____juve
Bayern munich____sevilla
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom