Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
7sabu umemdanganya umeagiza bmw750 karidhiiikaYupo bhana nme mwacha mda huu ni concentrate na futbol apa
[emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]7sabu umemdanganya umeagiza bmw750 karidhiiika
Majerudi yanawasumbua..Wana wachezaji wengi wapo nnjeila hapa katikati,Italia hawapo vizuri
Daaaah
Tushatoa mkosi hapa
Japo wamekataa
hahahaha Italia kwa kudefend hawajamboWajeru wakipigwa kidude Tu ndio bye bye. Maana wataliano watapaki trekta mpaka filimbi ya mwisho
Hawa vipi,wafungane bwana,hatutaki matuta.In case wakifika matuta basi Germany atashinda
[emoji106] [emoji106] [emoji106][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ile na mletea iko kwa njia
[emoji125] [emoji100]
HahahaaUlitaka mpewe hata goli haramu?
Ngoma bado ni 0-0
Mtanange wa nguvu.
Nahisi kipindi cha pili mchezo utakuwa mkali sana na speed itaongezeka.
Hahahaa
Kuna ile mtindo wa kusema tulifunga waka kataa
Leo nakutoa mkuuHuu mpira unachezwa kwa mbinu zaidi kuliko ufundi