Hahahaha enheeLol! Kwi kwi kwi hiyo kwenye cha ndimu.
Akili zaidi inatumikaHuu mpira unachezwa kwa mbinu zaidi kuliko ufundi
Kama utaangalia vizuri wanacheza kwa mfumo uliofanana wa 3-5-2Huu mpira unachezwa kwa mbinu zaidi kuliko ufundi
Mpira dk90Leo nakutoa mkuu
Kwa italia plan yao ilikuwa hiyo ya kipindi cha kwanza. Na imefanikiwa...second half wanabadilisha kisha wanapaki basiHawa vipi,wafungane bwana,hatutaki matuta.In case wakifika matuta basi Germany atashinda
Download app ya mobdro mkuuMsaada naomba link ya kuangalia hii game
Mti Mkavu...
Ujerumani wanacheza 4-4-2Kama utaangalia vizuri wanacheza kwa mfumo uliofanana wa 3-5-2
Yeah Italy wanacheza 3-5-2Kama utaangalia vizuri wanacheza kwa mfumo uliofanana wa 3-5-2
Ni wazuri...Ni kweli hawa Italy si wazuri kwenye tuta.
Ninayo mkuu kila nikitafuta nakutana na mbio za magali na michezo mingineDownload app ya mobdro mkuu
hapana wanacheza 3-4-2-1.Gomezi yupo mbele peke yake nyuma yake kuna Muller na OzilUjerumani wanacheza 4-4-2
Angalia TNS1 mimi ndio naangalia hapoNinayo mkuu kila nikitafuta nakutana na mbio za magali na michezo mingine