Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Mpira ni mbinu na Italy leo wamekuwa waangalifu kupanda sana mbele, halikadhalika kwa upande wa Germany nao wamekuwa waangalifu ingawa wamenza na Bastian Schweinsteiger sehemu ya kiungo ili kumdhibiti Mattia de Sciglio.

Mabeki wa Germany Jonas Hector na Joshua Kimmich wamefanikiwa kuwazuia mabeki wa Italy wasipande sana mbele.

Lakini meneja wa Gernany Joachim Low bado anatatizwa na uchezaji wa Italy ambao unamtumia Mattia de Sciglio pekee kama mchezaji wa kiungo na huku Germany ikiwatumia wachezaji wawili Bastian Schweinsteiger na Toni Kroos.

Kipindi cha pili kimeanza.
 
De sciglio anacheza kama Wing-back mkuu
 
Iceland kwenye kati ya team hizi hataona ndani,awaonee hao hao kina Briexit na France
 
Ujerumani wanacheza 4-4-2
Utatu wa nyuma uko hivi howedes Boateng na hummels

Kimmich na Hector wanacheza kama wing back hivyo Kroos shwainstaiger na ozil wanalamilisha tano yandani mbele kasimama muller na gomes
 
Huyu jamaa aliye okoa mchomo wa Muller nme mpa salute
 
hahahaha Siyo Podalsiki?naona mwenzao Klose alishastaafu,yaani huyu Schwein hazeeki tokea nipo primary school namuona tu,ila nahisi this time ndo kipindi chake cha mwisho

Ndio, atastaafu baada ya hii euro 2016
 
Reactions: BAK
Italy msituangushe msianze fujo za kurusha mateke kama FFU!
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…